Hawajui humu ndani akina Etwege walitamba enzi za Magufuli saa hizi nao wanalia .
Zamu yao inakuja sio muda mrefu .
Hawajui humu ndani akina Etwege walitamba enzi za Magufuli saa hizi nao wanalia .
Basi avumilie kuzika ndugu asiye na kichwa.Kwahiyo ilibidi akatae kazi .?
Issue ya binamu yake kuuliwa Haina uhusiano na kazi zake binafsi .
Hauwezi ukawa msanii uka turn down deal kisa siasa uchwara.
Acheni uchunguzi Ufanyike
NONSENSE
Hata Musiba, Polepole na wengine kabla hawajafikiwa walikuwa wanasema hivyo hivyoNONSENSE
hakuna haja ya kueleza nonsense jukwaani gentlemanHata Musiba, Polepole na wengine kabla hawajafikiwa walikuwa wanasema hivyo hivyo