Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 25,965
- 28,291
Kawaida shetwaaini hana rafiki wala urafiki hivyo akili kumkichwa na kumkaribisha shetani kama chichi em ni kuukaribosha mwisho wako kabla ya wakati!Kwa yaliyokutokea liwe Fundisho kwamba, wanapotekwa wengine tupige kelele pamoja.
Nitakutafuta nikupe pole ya Ana kwa Ana utakaporudi kuzika
Kwa Kukumbusha tu ni Kwamba Mh Temba ni miongoni mwa wasanii waliokuwa wanatumbuiza kwenye Kampeni za Samia 2025 huku akiwa kavalia fulana na Kofia ya SSH