Pole sana Mh Temba, Shetani hana Rafiki

Pole sana Mh Temba, Shetani hana Rafiki

Wewe kigagula acha uongo
Huna chembe ya ushahidi, unalazimisha tu ukiulizwa, unarukaruka na maneno yasiyoeleweka , kuna watu wangapi humu wanauliza huyo ni nani na anafanya shughuli gani mpaka yamkute haya ?
Huna jibu
Subiri atakapotekwa mama yako wiki ijayo
 
Wewe kigagula acha uongo
Huna chembe ya ushahidi, unalazimisha tu ukiulizwa, unarukaruka na maneno yasiyoeleweka , kuna watu wangapi humu wanauliza huyo ni nani na anafanya shughuli gani mpaka yamkute haya ?
Huna jibu
Huyu muosha mavi anafikiri kuropoka JF ndio kinga.Anadhani kuwa na kijiofisi Malawi ndio kinga ya uchochezi.
 
Huyu muosha mavi anafikiri kuropoka JF ndio kinga.Anadhani kuwa na kijiofisi Malawi ndio kinga ya uchochezi.
Mkuu sasa hapa uchochezi Wangu ni Upi?

Halafu sina ofisi Malawi per say Nina kijiofisi kidogo sana,marehemu polepole anakijua, ila Nina ofisi kubwa Johannesburg, Ottawa,n.a. USA, Marryland
 
Ila kuna watu wanamionekano ya ki binadamu ila ni devils. Kumkata binadam kichwa inahitaji ukatil wa hali ya juu sana

Ni km wale wa oct 29 , inahitaji ukatili sana .most of these kids wanakuaga ni ama walitelekezwa udogoni au hawajakulia kwenye malezi ya proper family
I feel sorry for them , I feel sorry for Samia too maana the universe is balanced
Tz inapoelekea ni hatari
Kama serikali ikiwaacha tu
Bila kuwatia nguvuni mambo yatazidi kuwa mabaya!
Mitaani wamejaa ma serial killer wengi tu na hawakamatwi

Ova
 
Tz inapoelekea ni hatari
Kama serikali ikiwaacha tu
Bila kuwatia nguvuni mambo yatazidi kuwa mabaya!
Mitaani wamejaa ma serial killer wengi tu na hawakamatwi

Ova
Mbona tayari ishakuwa hatari!
 
Kwanza jina la Temba inaweza kuwa uyo ni Mchaga!!!

Lkn mleta mada ni muongo mchonganishi

Uwezi kusema Serikali imeusika kwenye tukio ambalo Sababu wewe mwenyewe uijui !!!

zaidi unalakamika kila ntu litamfika

litakufika sababu niwewe mwenyewe umeamua likufike kwa kuisakama Serikali kwa uwongo✍️

Sio Tanzania tu popote nenda ipo ivyo Serikali jukumu lake kubwa kuwaudumia wananchi wake!!!

TEMBA mwimbaji kuipigia kampeni CCM ndio kosa!!
mbona wanasanii wengine wapo vizuri ¿¿¿

1]
Swali kama tatizo ni kusaidia kampeni ya CCM mbona TEMBA muhusika hakutekwa!!!

2)
Watu wanauliza uyo Temba anausika nanini kiasi iyo Serikali imteka???
mwanasiasa ?
mwana jamii forum anatumia jina lipi??

Kama majibu huna

kwann icho kifo kibebeshwa Serikali

Vip kama ni wivu
wanawake

Wangapi wanauwawa kisa wivu wa mapenzi!!!

vip kama kuna zuluma kubwa ya pesa wenyewe kwa wenyewe!!

Ukisema tu ni Serikali lazima tujue uyo mtu kwann Serikali wahusike kafanya nn kibaya kwao???

Serikali inatumia Mabilioni mengi kwenye Afya za raia wake!!!

Raia kauwawa kwasababu uzijui unadai Serikali!

Mfano ndugu Polepole katekwa japo kila mtu anaweza sema ni Serikali sababu zipo wazi!!!

Sasa uyo Temba nayeye kafanyaje kwa Serikali???
 
Temba kuitwa MHESHIMIWA Iko hivi ..... Kipindi wapo kundi moja la MANDULI MOBB ( TEMBA, DAZ BABA na DAZ P) DAZ P alitoa magoma makali kama Sister du / Kama unataka kuja home. ... ..Sasa wakati wanataka kutoa goma la kundi lao MASKINI JEURI .... Temba alikuwa jeshini na alikuwa anachezea kikapu timu ya JKT ..... Waliporekodi ndio yaleyale ya HBC hard blasters na NIGGA J ..... Temba akapita nayo vibaya sana jamaa anasema ikabidi wamuachie Ngoma nzima aifanye yeye na kiroboto (Sir Nature).... Ilipopelekwa radioni .... Dj Anamuuliza DAZ P huyu mwanamuziki anaitwa nani .... Ndio DAZ P kujibu aaah huyo anaitwa TEMBA ni MHESHIMIWA MWANAJESHI .... Ndio a.k.a MHESHIMIWA TEMBA (Mh. Temba ) KUZALIWA .....
 
LAbda hajatekwa na kufanyiwa chochote kile.nyinyi mbwiga huku sasa.
Nani akamteke mtu ana mapumbutu.
 
Kwanza jina la Temba inaweza kuwa uyo ni Mchaga!!!

Lkn mleta mada ni muongo mchonganishi

Uwezi kusema Serikali imeusika kwenye tukio ambalo Sababu wewe mwenyewe uijui !!!

zaidi unalakamika kila ntu litamfika

litakufika sababu niwewe mwenyewe umeamua likufike kwa kuisakama Serikali kwa uwongo✍️

Sio Tanzania tu popote nenda ipo ivyo Serikali jukumu lake kubwa kuwaudumia wananchi wake!!!

TEMBA mwimbaji kuipigia kampeni CCM ndio kosa!!
mbona wanasanii wengine wapo vizuri ¿¿¿

1]
Swali kama tatizo ni kusaidia kampeni ya CCM mbona TEMBA muhusika hakutekwa!!!

2)
Watu wanauliza uyo Temba anausika nanini kiasi iyo Serikali imteka???
mwanasiasa ?
mwana jamii forum anatumia jina lipi??

Kama majibu huna

kwann icho kifo kibebeshwa Serikali

Vip kama ni wivu
wanawake

Wangapi wanauwawa kisa wivu wa mapenzi!!!

vip kama kuna zuluma kubwa ya pesa wenyewe kwa wenyewe!!

Ukisema tu ni Serikali lazima tujue uyo mtu kwann Serikali wahusike kafanya nn kibaya kwao???

Serikali inatumia Mabilioni mengi kwenye Afya za raia wake!!!

Raia kauwawa kwasababu uzijui unadai Serikali!

Mfano ndugu Polepole katekwa japo kila mtu anaweza sema ni Serikali sababu zipo wazi!!!

Sasa uyo Temba nayeye kafanyaje kwa Serikali???
Wakati tunaandika kuhusu kutekwa Watu awamu ya 5, Polepole alitukejeli Kama wewe, sasa subiri atekwe Mama yako
 
Wakati tunaandika kuhusu kutekwa Watu awamu ya 5, Polepole alitukejeli Kama wewe, sasa subiri atekwe Mama yako
Kwani wewe ametekwa mama yako?Wewe msafisha mavi ya wazungu una majungu sana.Utapatikana tu uthibitishe hizo tuhuma na kuleta ushahidi.
 
CHADEMA ndio chama pekee kilichotolea tamko Polepole alipotekwa , CCM hawajathubutu hata mmoja kuongea chochote.
Wameshamsahau comrade wao aliyewatumikia kama Katibu Mwenezi.

Kweli kina Masika ina Mbu wake.
 
Wameshamsahau comrade wao aliyewatumikia kama Katibu Mwenezi.

Kweli kina Masika ina Mbu wake.
CCM ni hatari kama kansa, ndio maana Kikwete alisema hawaachiani maji mezani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom