sa ni nyingi, afu pia napenda ugundue mwenyewe
kuwa bishoo? okey, hapo humtengenezi ila yeye anakutengeneza sasa
wanawake siku hawana muda wa kuwahudumia waume zao ila wana muda wa kuihudumia mitandao ya kijamii kama facebook, twitter, na mingine mingi bila kusahau whatsapp,
^^
Ni kwa niaba tu ya wanaume wasio na kipato cha kuridhisha,wasio na elimu na ambao wana nia ya ndoa ila tu wameumizwa na wanawake.
^^
ha h haaa! ila wanawake nahisi mmezidi
Mbona hata kizazi cha wanaume wa kipindi hiki nao siyo waoaji? Wanakuwa mizigo kwenye familia zilizonyingi? Hawawajibiki inavyotakiwa.
^^
Siku mkijifunza kuwa wanawake halisi,,hata sisi tutapata moyo wa kuwajibika,,huna msimamo,unababaika na anasa..niwajibike ili iweje wakati najua we mpita njia
^^
yan ulichokiongea ni UKWELI MTUPU, hawa wanawake wa siku hizi hata mimi sielewi wako vipi, huwa kila siku najiuliza nitamuoa nani sipati jibu, yani wanawake wa kuoa siku hizi hakuna
mbon UNAGUNA MAMA ANGU..........
haya mama nimekuelewa sana, kupata mtoto naweza wahi ila kuoa ndo ntafikiria mbaka hiyo miaka 60Miaka 60 ni mingi sana
utazaa lini?
Utasomesha lini?
Punguza hata iwe miaka 40, walau japo utakuwa umechelewa lakini siyo mbaya sana.
haya mama nimekuelewa sana, kupata mtoto naweza wahi ila kuoa ndo ntafikiria mbaka hiyo miaka 60