aisee siku hizi kumtengeneza mke ni kazi ya ziada, utapoteza muda wako bure na huyo unayemtengeneza usimpateKuna haja ya kuanza kuwafunda kina kaka mapema ili waweze kukabiliana na matatizo, kuna mazingira mke unamtengeneza wewe hata kama ni anaonyesha ubabe
kumbe waweza nifaa ehee?
Lets say for you.for you, for me or for whom?
for me........ okeyLets say for you.
sifa zipo aisee, ha ha haaa lady docta bwana
^^
Ni kwa niaba tu ya wanaume wasio na kipato cha kuridhisha,wasio na elimu na ambao wana nia ya ndoa ila tu wameumizwa na wanawake.
^^
aisee siku hizi kumtengeneza mke ni kazi ya ziada, utapoteza muda wako bure na huyo unayemtengeneza usimpate
ha ha haaa! nina sifa za kisasa kabisaaaa, yaani cjui hata nikuambia je, ni sifa gani niliyonayo unataka nikutajie?
lazima ujifunze toka kwa walioshindwa ndo na wewe ujue ufanyeje, ukiwa mtu wa kutojifunza toka kwa wengine utaishiwa mbinu na ubunifu
hapo utakuwa umejifunza ni wapi alikosea na we usipite huko, kujua mwenzio alipokosea ni muhimu kwa kila jambo, mfano mi niligundua kuwa kuoa ni kujipanga baada ya kuona mwenzagu ambaye alikurupuka ndoa ilimshinda, baadaye nikaja kugundua kuwa mapenzi ya sasa ni pesa baada ya kuwashuhudia watu kadhaa waliokumbana na kadhia hiyo, so tunahitaji kujifunza toka kwa wengine aiseeSasa mbinu alizotumia mwenzio akashindwa wewe zitakusaidiaje kwa mfano,chukua darasa kwa wale wanaosheherekea platinum jubilee zao bandugu......hao rafiki zako na wenyewe walideasa pabovu vilevile na kubwa usisahau Muumba yupo
Mi nawajua wasichana wengi tu wenye hizo sifa kama namba 1,3,4,5,6,7,8 shida hiyo namba 2 ndo vigumu kujua. We umekosa kweli au hufanani au unatafuta kusiko au unasema tu hawapo kwa sababu na wengine wanasema.for me........ okey
1. awe ni yule mwenye kujiheshimu
2. awe ni yule anayenipenda kwa dhati
3. awe ni mvumulivu
4. awe ni mshauri mzuri na ni mfariji kwangu
5. awe ni mbunifu
6. awe ni muelewa, anijue mimi vizuri ni wakati gani nataka nini na ni wakati gani sitaki nini
7. awe mkarimu kwangu, kwa marafiki na ndugu zangu
8. awe na maono ya maendeleo
na mengine mengiiiiiiiiiiiiiii, muda wangu hautoshi
ha ha haa! ninazo nyingi kiasi kwamba kukutajia naona mbaka uvivu
kaka wanawake wanabadilika kama kinyonga, leo utawaona wana hizo sifa kesho hawatakuwa nazo, kwa kifupi ni tamaa ndo zinawafanya wawe hivyo na wengine msukumo wa rika na fashion zinawabadilishaMi nawajua wasichana wengi tu wenye hizo sifa kama namba 1,3,4,5,6,7,8 shida hiyo namba 2 ndo vigumu kujua. We umekosa kweli au hufanani au unatafuta kusiko au unasema tu hawapo kwa sababu na wengine wanasema.
kuwa bishoo? okey, hapo humtengenezi ila yeye anakutengeneza sasaKumtengeneza kuna aina nyingi mdau, kuna style ya akiwa bishoo wewe unakua bishoo zaidi yake na nyingine nyingi based on situation vinginevyo hakuna mtu ambae ni perfect kwa 100% kwani kila jinsia inaingia kwenye ndoa huku ikiwa na hofu (wanawaza kuachika), dawa ni kuingia huku unawaza vitu positive na vikitokea vitu negative unachukulia kama dharula na kuangalia namna ya ku-deal nayo