Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Kipindi hicho Magu atakua wapi?
Pengine wanahisi akina Le mutuz na cyprian Musiba baada ya kunyimwa ulaji haramu waliokuwa wakifaidi watachomoa
betri kwa kuwatumia utitiri wa waganga wa kienyeji wanaomilikiwa na Le mutuz
 
Hakuna kitu kama hicho,yaliyotokea 2015 ndio yanaenda kutokea 2020,Membe atatengenezwa aonekane jabari sijui spy master na hata wanaomsubiri aombe msamaha kama wenzake hataomba ili 'watalaam' waendelee kumtengenezea njia vzr huku wananchi tukiendelea kuamini masiah amefika kutukomboa kama vile ambavyo tuliaminishwa Lowassa ana support mpk huko Marekani/Europe.

2020 anakabidhiwa ticket ya kugombea urais kupitia chama cha upinzani,kwny uchaguzi mkuu atashindwa kama kawa then 2021 anarudi kwao CCM kama Lowassa vile alivyofanya.
Njia ndefu yote ya nini? Upoteze rasilimali nyingi tu. Ili kumhadaa nani kwa faida ya nini?, Nec, tiss, Polisi, jwtz vyote ni Mali yako
 
Njia ndefu yote ya nini? Upoteze rasilimali nyingi tu. Ili kumhadaa nani kwa faida ya nini?, Nec, tiss, Polisi, jwtz vyote ni Mali yako
Upitie shortcut then misaada ya wazungu/grants/vikwazo vya kimataifa/hela za IMF/WB uzisikilie kwny bomba?
 
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.

Watanzania si watu wa kuwachezea.

Yaani Kapilimba na masters yake maalum ya UK ameshindwa na vijana wa hapahapa Tanznaia wenye diploma za VETA za ICT na mawasiliano?

Hatari sana.
 
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji115][emoji115][emoji115][emoji848][emoji144]
Niguse

Ninuke
 
Critisizing zako siyo analyitical, is like unabeza bila kujua unabeza nini? Kama unabisha hiyo siyo sababu, tueleze sababu genuine wewe! Otherwise NYUMBU ni wewe!!
Critics sio critisizing
 
Wanasema eti afadhali siku hizi hafanyi zile za jukwaani za "nitumbue nisitumbueeeeeee???"

Halafu wananchi wanamjibu "Tumbuaaaaaaaaa".

Anazuga kwa kalamu kuandika "atapangiwa kazi nyingine".
Yaani huyu boss wetu ana ushamba wa first degree
 
Eti Kipilimba yuko under house arrest mbona yumo humu jamii forums anapost Kama kawaida usilolijua ni kama usiku wa giza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani ni mumeo mpaka ujue kama yupo humu?
 
Mkuu umenifikirisha kidogo ulipoi point malawi.Why them na sio Rwanda ambao ndio hasa tumekua nao kwenye mahusiano ya sintofaham kwa muda mrefu?!
Mgogoro wa tz na Malawi ndio mkubwa zaidi maana umekaa kiuchumi zaidi pia huu mgogoro utagusa maslahi ya mabeberu

Mgogoro wa tz na rwanda sio mkubwa kivile na ata hivi rwanda tumeshamnyoosha mara nyingi tu kibaya zaidi kale kanchi hakana misingi so ni propaganda tu kidogo then wanaanza kupigana mapanga muda huohuo anafungiwa mipaka
 
Thanks chief.Mm nikajua haya masuala yalishakua resolved aisee.
Na hapo kwa mabeberu wanaguswa how mkuu?
 
Critisizing zako siyo analyitical, is like unabeza bila kujua unabeza nini? Kama unabisha hiyo siyo sababu, tueleze sababu genuine wewe! Otherwise NYUMBU ni wewe!!
Mkuu acha kusumbuka na huyo maana hajui kuwa hajui. Jamaa kasema au kajisifia kuwa aliyotabiri na kuyaandika humu yametokea vile vile lakini huyu mjamaa yeye kaelewa kuwa alivyoandika bandiko ndo lililosababisha mmbea mkuu kutumbuliwa. Hajaona tofauti ya kujua kinahokuja na kukifanya kije
 
Back
Top Bottom