Kuwa na mapenzi na membe kunahatarisha vipi usalama wa nchi, au kazi ya TISS ni pamoja na kulinda maslahi ya rais dhidi ya wapinzani wake kisiasa na kiitikadi, tunaomba majibu tafadhali..Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.