Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Hao TISS wanatumia Tekinolojia za KUDUKUA ZA Israel, maana yake Israel ina back door ya mambo yote wanayofanya!. Ngoja siku tuguse maslahi ya ISRAEL huku Africa au Tukatae kuvote on their favor huko UN kisha waone kama hawajawablack mail kurelease issue za Kibiti, Ben Saa nane, Au waipe nchi adui yetu kama Malawi taarifa zetu nyeti za ulinzi!

Toka lini waisrael hawaijui Tanzania.? Usihofu. Ndio walioitegemeza Idara
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.
Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.
Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?
Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.
Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
Eti Kipilimba yuko under house arrest mbona yumo humu jamii forums anapost Kama kawaida usilolijua ni kama usiku wa giza😀😀😀😀😀😀😀
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.
Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.
Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?
Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.
Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
Karibu sana mkuu , kimya chako kilinipa wasiwasi
 
💪
 
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.
kumbe mkuu wa TISS nae alidukuliwaa...
 
Tulikuwa tumekata business nao kwa miaka mingi sana kabla ya utawala wa awamu hii
Sasa kwa tekinolojia hii waliyotupa ndo tupo wazi kwao mpaka basi!
Kuna kitu wanaita SimJacker, Hiyo hata wao Israel wanaiogopa. Teknolojia inabadilika kila sekunde. Ndio maana hata US walikuwa wanapinga kurasimishwa kwa A.I, bado dunia haijajiandaa kwa haya mambo. Tuko uchi daily 24/7.
 
Kwenda zako wewe. Unataka kuaminisha watu eti ujinga ulioandika ndiyo umefanya akatolewa. Lakini kwa nchi yenye ''nyumbu'' wasiofikiri mara mbaili kama yetu utapata waunga mkono.
Critisizing zako siyo analyitical, is like unabeza bila kujua unabeza nini? Kama unabisha hiyo siyo sababu, tueleze sababu genuine wewe! Otherwise NYUMBU ni wewe!!
 
Wanasema eti afadhali siku hizi hafanyi zile za jukwaani za "nitumbue nisitumbueeeeeee???"

Halafu wananchi wanamjibu "Tumbuaaaaaaaaa".

Anazuga kwa kalamu kuandika "atapangiwa kazi nyingine".
 
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
hatariiiii !!
 
Back
Top Bottom