Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.

Embu dadavua zaidi mkuu.. Walikuwa wanateta nini?
 
Kwenda zako wewe. Unataka kuaminisha watu eti ujinga ulioandika ndiyo umefanya akatolewa. Lakini kwa nchi yenye ''nyumbu'' wasiofikiri mara mbaili kama yetu utapata waunga mkono.

Mbona foam (povu) nyingi sana?
 
There is no way ukamdukua spychief kizembe maana kila kitu anajua,na hata tech zinaponunuliwa anakua anajua maana yeye ana security clearence,

ila sasa ukiwa kwako unaweza kuletdown your guard,kumbe hapo ndo wanapokuotea,

hawa mahousegal ni wa kuangalia sana,mtu akitaka kukunasa akapitia kwa housegali umekwisha

Katika ' Ujasusi ' hakuna neno ' Spy chief ' kama ulivyoandika hapa bali kuna neno sahihi la ' Spy Master ' hivyo nakuomba kabla hujaumbuka zaidi na Watu kukuona huna unachokijua katika hiyo ' Medani ' tafadhali ' edit ' hapo na weka hilo neno nililoliandika hapa. Na Siku zingine kabla ya Kutumia neno lolote la Kiingereza katika Kuandika Kwako jitahidi uwe unalihakiki na ulielewe pia ili nawe uweze kuonekana ni ' Great Thinker ' wa kweli.
 
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.
Bado unamwita mbobezi akashindwa kujua kuwa wapo wanaomuagalia (Couter Intelligence).
 
@AnEagle,hizo mbona ni terminology tu Inside the Mystery of the Dead Russian
Spy Chief - The Daily Beast
www.thedailybeast.com
24 Nov 2018 · MOSCOW – Igor Korobov,
the chief of Russian military intelligence,
was buried on Friday at ...
Russia: GRU military spy chief dies after
illness | News | DW | 22.11 ...
m.dw.com
22 Nov 2018 · Russia's military spy
chief has died just two years after the
death ... and grave illness," a common
Russian euphemism for cancer.
Russian spy chief Igor Korobov dies of
'cancer' amid suspicion he ...
www.thesun.co.uk
22 Nov 2018 · Putin is furious with his
spy chief over the botched Salisbury
attack and the bungling GRU.
Former MI5 spy chief: Russia tried to
recruit me at the height of the ...
www.telegraph.co.uk
8 Apr 2019 · The former head of MI5
has described how Russian agents
attempted to recruit her at the ...
 
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.
Ahahahahaha... Dah! Kiukweli asingeweza kuongoza milele!
 
My Son drink maji unaeza kutuwekea hizo makala za taa nyekundu ulizowahi kuzileta humu
 
Kuna gesi ambayo ipo mpakani lkn kwa upande wa Tz so Malawi wanataka ziwa lote ili wapate gesi pia kuna tetesi kuwa Malawi alikuwa kawahaidi British kuwapa vitalu kwa bei chee so kivyovyote vile lzm mabeberu wampe support malawi
Juzi IGP wao mstaafu aliwashutumu kina mbheki kuwa usuluhishi umewashinda, still wakasema kuwa ziwa lote ni lao...
 
Acha Wivu na Chuki ' Mpuuzi ' Wewe. Sasa kama kumbe Wewe ulikuwa unajua kila Kitu kwanini hukuwahi Kutuhabarisha hapa? Miswahili bhana!
Nyumbu mwingine huyu hapa. Posts zako na zake hazitofautiani sana. Nione chuki kwa maandishi yenye ujinga kama unayoandika wewe au yeye?
 
Wewe babako ni agent, sasa we utanusurika vipi?
Nlinusurika sababu mama na yeye alkua agent na hakutaka tuingie huko

Hawa watu bhana yaani wata kuinfluence mpaka shule za kusoma na kitu cha kusoma ili waje wakutumie huko mbele

Anyway mi nlisema siwezi nkawa kafiri wa ccm

Kama kuna kazi zingine wanipatie

Eeh wakaona huyu Dogo Bangi sana

Kuna Mengi sana mkuu

Ingawa mzee wala maza hawajawahi kiri kuwa huko ila unajua vitu vingine rahisi sana kujua

Sa we imagine mtu anantuma mi na dogo tukakague DamPo ya jirani yetu tukajue nini wanakula ... Maisha yapoje yaani tuchunguze maisha ya watu only by dampos

Tukusanye nanii za benk

Kuna jirani mwingine akahamia akatuambie tuchunguze wapo wangapi just by counting nguo wanazoanika

Tujue wapo wangapi nyumba nzima ....

Yaani mi vituko vyake bhana ndo nikaja kujua huyu ni wale wale

Akatufundisha kujua watu wanaongea nini bila hata kusikia wanachosema yaani mi nikiwa mbali na mtu nikiona mdomo unvyocheza eeeh najua huyu anaongelea nini advance nligomba sana na watu maana walkua wakinisema najua

Asante ! ....

Prof amy victory .....massachusets uni

Natoa kelubu hizo 😅😅😅

Mmbo mengi sana mkuu .... Sema mi si wao

Na sitokuja ... Hata siri zao sizijui

Sema tulifunzwa njia za kujilinda hata wewe unaweza jifunza
 
Back
Top Bottom