Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Kuna gesi ambayo ipo mpakani lkn kwa upande wa Tz so Malawi wanataka ziwa lote ili wapate gesi pia kuna tetesi kuwa Malawi alikuwa kawahaidi British kuwapa vitalu kwa bei chee so kivyovyote vile lzm mabeberu wampe support malawi
Thanks chief.Mm nikajua haya masuala yalishakua resolved aisee.
Na hapo kwa mabeberu wanaguswa how mkuu?
 
Kuna gesi ambayo ipo mpakani lkn kwa upande wa Tz so Malawi wanataka ziwa lote ili wapate gesi pia kuna tetesi kuwa Malawi alikuwa kawahaidi British kuwapa vitalu kwa bei chee so kivyovyote vile lzm mabeberu wampe support malawi
Nimekuelewa mkui.if that is the case then hii issue iko delicate zaid
 
Hii nchi tamu sana asee🙂🙂🙂🙂
 
Huyo Membe mnatuaminisha tuu et ana mizizi, Hana lolote, Hana ushawishi wowote, labda ungesema Rostam na Lowasa, kitu pekee cha kuhofia Kwa Jiwe ni uhusiano wake mbovu na mataifa makubwa kitu ambacho hakipo Jana Tu wamempa tillion moja , sasa huyo Membe atawaahidi nini wazungu wamwelewe na Wale hawachezi dili za kubahatisha, ndo haya ya Lissu kutangaza Tanga ughaibuni pamoja na ayatola Zitto wakifkri watakuwa na impact yyte
Wamempa au amekopa?

Mzigo wote kwako na familia yako.
 
Membe ana mizizi mikubwa hadi kwenye mataifa yenye nguvu kubwa Duniani, asiyemjua Membe Pole yake, yule kidogo wa Twitter possibly ni Membe mwenyewe
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.

Yaani wasomi kama hao na ambao wapo kwenye MOSSAD hawajui kuwa hata kama kuna “NZI” au ‘MBU’ ndani ya vyumba vyao vinaonekana(visible) na binadamu ambaye yupo Moscow, Beijing, Tokyo au Zurich??? Kama binadamu kishaweza kupeleka binadamu Mwezini(Moon) na sasa Dunia ya Mars, atashindwaje kusikiliza maongezi yako ya mkeo nyumbani au mtu yeyote(eavesdropping) 24/7/365??????? Zile risasi za Tindu ukienda kwenye data za SPACE MONITORING UNIT utaona kila kitu na waliofyatua risasi wanaonakana waziwazi kwani kuna technologia ya ku-unmask uso uliofunikwa! Hakuna tena siri duniani kwani dunia nzima ipo kiganjani!! Ila tunasitiriana tu!!!!!!!!!!
 
Kunywa Maji Mwanangu
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.

Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.

Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?

Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.

Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.

1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".

2."The future of your country is loomed up into darkness ".

Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
 
Kwenda zako wewe. Unataka kuaminisha watu eti ujinga ulioandika ndiyo umefanya akatolewa. Lakini kwa nchi yenye ''nyumbu'' wasiofikiri mara mbaili kama yetu utapata waunga mkono.

Acha Wivu na Chuki ' Mpuuzi ' Wewe. Sasa kama kumbe Wewe ulikuwa unajua kila Kitu kwanini hukuwahi Kutuhabarisha hapa? Miswahili bhana!
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.

Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.

Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?

Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.

Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.

1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".

2."The future of your country is loomed up into darkness ".

Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
My Son drink maji unaeza kutuwekea hizo makala za taa nyekundu ulizowahi kuzileta humu
 
UTEUZI NA UTENGUZI HUWA NA SABABU ZAKE.JAMANI MWENYE KUJUA JUU YA UTENGUZI HUU ATUJUZE
Kawaida ya kazi ya kuteuliwa unaweza ukatengeliwa, ukabadilishwa, ukapangiwa kazi nyingine ama ukajiuzulu. Ukitafuta sababu haziishagi.Every judgement happens for a reason. Kawaida sana hilo mbona
 
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.
Mwanakatukumeni huwa ha resign ingawa all jobs are temporary (la muhimu sana kulikumbuka) na kuongezea zaidi.....baadhi ya kazi hasa za mwanakatukumeni kutumikia ekaristi takatafu unaweza ukawa "Trapped" for good reasons ingawa Traps are Meant to be Inescapable"
 
There is no way ukamdukua spychief kizembe maana kila kitu anajua,na hata tech zinaponunuliwa anakua anajua maana yeye ana security clearence,

ila sasa ukiwa kwako unaweza kuletdown your guard,kumbe hapo ndo wanapokuotea,

hawa mahousegal ni wa kuangalia sana,mtu akitaka kukunasa akapitia kwa housegali umekwisha
 
Back
Top Bottom