Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

Pia jeshi la jwtz ni matunda ya waisrael.

hiyo ni sub information tu kuna mengi zaidi.
Toka lini waisrael hawaijui Tanzania.? Usihofu. Ndio walioitegemeza Idara
 
Membe ana mizizi mikubwa hadi kwenye mataifa yenye nguvu kubwa Duniani, asiyemjua Membe Pole yake, yule kidogo wa Twitter possibly ni Membe mwenyewe
Umenena Mkuu. Na Ndiyo maana hata jiwe anabaki kukuna bichwa lake. Acheze na wakina Nape Wanafiki hawa na si Joka la Mdimu.
 
Membe ana mizizi mikubwa hadi kwenye mataifa yenye nguvu kubwa Duniani, asiyemjua Membe Pole yake, yule kidogo wa Twitter possibly ni Membe mwenyewe
Hakuna kitu kama hicho,yaliyotokea 2015 ndio yanaenda kutokea 2020,Membe atatengenezwa aonekane jabari sijui spy master na hata wanaomsubiri aombe msamaha kama wenzake hataomba ili 'watalaam' waendelee kumtengenezea njia vzr huku wananchi tukiendelea kuamini masiah amefika kutukomboa kama vile ambavyo tuliaminishwa Lowassa ana support mpk huko Marekani/Europe.

2020 anakabidhiwa ticket ya kugombea urais kupitia chama cha upinzani,kwny uchaguzi mkuu atashindwa kama kawa then 2021 anarudi kwao CCM kama Lowassa vile alivyofanya.
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.

Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.

Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?

Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.

Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.

1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".

2."The future of your country is loomed up into darkness ".

Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
Aisee mkuu My Son drink water ninependa uandike zaid maana dah wengine wagum sana kuelewa.Yan pale naanza kupata kiu ya kukusoma zaid na ww ndio unamaliza composition yako
 
Hao TISS wanatumia Tekinolojia za KUDUKUA ZA Israel, maana yake Israel ina back door ya mambo yote wanayofanya!. Ngoja siku tuguse maslahi ya ISRAEL huku Africa au Tukatae kuvote on their favor huko UN kisha waone kama hawajawablack mail kurelease issue za Kibiti, Ben Saa nane, Au waipe nchi adui yetu kama Malawi taarifa zetu nyeti za ulinzi!
Mkuu umenifikirisha kidogo ulipoi point malawi.Why them na sio Rwanda ambao ndio hasa tumekua nao kwenye mahusiano ya sintofaham kwa muda mrefu?!
 
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji115][emoji115][emoji115][emoji848][emoji144]
Noma sana!
 
Kwenda zako wewe. Unataka kuaminisha watu eti ujinga ulioandika ndiyo umefanya akatolewa. Lakini kwa nchi yenye ''nyumbu'' wasiofikiri mara mbaili kama yetu utapata waunga mkono.
Kama utakua umemsoma vizuri My Son drink water hutakuta mahal ambapo panaonyesha makala zake ndio zilizomtoa.Bali makala zake zililenga kumtahdharisha kuhusu mpamgo wa yy kuondolewa na hivyo achukue hatua mapema.Usi comment kwa kisiran na vyema kuheshim mawazo ya watu hata kama hukubalian nayo au jaribu kuyapinga kwa namna ambayo ni constructive.Huu ndio utu uzima maana yake
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.

Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.

Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?

Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.

Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.

1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".

2."The future of your country is loomed up into darkness ".

Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
Wewe ni beberu la mbegu..!!
 
Hakuna kitu kama hicho,yaliyotokea 2015 ndio yanaenda kutokea 2020,Membe atatengenezwa aonekane jabari sijui spy master na hata wanaomsubiri aombe msamaha kama wenzake hataomba ili 'watalaam' waendelee kumtengenezea njia vzr huku wananchi tukiendelea kuamini masiah amefika kutukomboa kama vile ambavyo tuliaminishwa Lowassa ana support mpk huko Marekani/Europe.

2020 anakabidhiwa ticket ya kugombea urais kupitia chama cha upinzani,kwny uchaguzi mkuu atashindwa kama kawa then 2021 anarudi kwao CCM kama Lowassa vile alivyofanya.
Trust me cdm kwa hil la lowasa wamekoma hawatakaa warudie tena ule mchezo wao wa tamaa mbele.Hawatawah aisee maana kwasasa wamerud nyuma kuanzia Zero.hal ni mbaya sana
 
Sijui hili Bangalow lake na Hotel anazojenga hapa Chato zitaendelea au ndiyo zitaishia hapa..alitaka kuja kuishi chato baada ya kustaafu.
 
Huyo Membe mnatuaminisha tuu et ana mizizi, Hana lolote, Hana ushawishi wowote, labda ungesema Rostam na Lowasa, kitu pekee cha kuhofia Kwa Jiwe ni uhusiano wake mbovu na mataifa makubwa kitu ambacho hakipo Jana Tu wamempa tillion moja , sasa huyo Membe atawaahidi nini wazungu wamwelewe na Wale hawachezi dili za kubahatisha, ndo haya ya Lissu kutangaza Tanga ughaibuni pamoja na ayatola Zitto wakifkri watakuwa na impact yyte
 
Back
Top Bottom