Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.

Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.

Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?

Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.

Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.

1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".

2."The future of your country is loomed up into darkness ".

Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
 
UTEUZI NA UTENGUZI HUWA NA SABABU ZAKE.JAMANI MWENYE KUJUA JUU YA UTENGUZI HUU ATUJUZE
 
Kula maisha mkuu, wewe tuachie nchi yetu na magufuli wetu au unasemaje mwanangu kunywa maji, najua jana hukulala baada ya kusikia mtesi wako mkubwa bwana kipilimba kapigwa pin...
Mimi nilijua lazima apigwe chini ndo maana nilikuwa namshauri sana a resign ,kosa lake kubwa ni mapenzi yake kwa Membe na si jingine, alikuwa anadukuliwa kila anavyofanya mawasiliano kwa Siri na Membe bila yeye kujua, na wadukuzi walikuwa nyumbani kwake, Tanzania ni yetu sote.
 
Hapa umeongea kweli, Membe ndio kamuondoa pale hakuwa muadilifu kwa 100%.
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.
Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.
Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?
Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.
Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.

Hao TISS wanatumia Tekinolojia za KUDUKUA ZA Israel, maana yake Israel ina back door ya mambo yote wanayofanya!. Ngoja siku tuguse maslahi ya ISRAEL huku Africa au Tukatae kuvote on their favor huko UN kisha waone kama hawajawablack mail kurelease issue za Kibiti, Ben Saa nane, Au waipe nchi adui yetu kama Malawi taarifa zetu nyeti za ulinzi!
 
Ktk makala zangu tatu nilizokuandikia kupitia jukwaa hili, nilijikita zaidi ktk kukushauri u resign kwa hiari yako.
Sisi waandishi wa mitandaoni huwa tunachukuliwa Kama waropokaji tu na watu tunaoandika Taarifa za kuhisia zisizo na ukweli wowote,hii mara nyingi kwa nchi zinazoendelea, lakini kwa nchi zilizoendelea kila andiko hupewa tahadhari kubwa.
Mzee wangu, ukiwa Kama mbobezi wa intelligence ulishindwa kabisa kunusa kabisa harufu ya kupigwa chini?
Na Kama ni kweli utakuwa upo under house arrest, basi naipa heko zote Mossad kupitia huyu kikongwe Yoni Moshe, jasusi mstaafu aliyebobea na aliyeitumikia Mossad zaidi ya miaka 40 akiwa kashiriki ktk operesheni mbalimbali Duniani za Siri kwa manufaa ya taifa lake,na wakiwa wamedukua mamia ya ikulu Duniani ikiwemo Whitehouse.
Aliwahi kuniambia maneno mazito sana siku moja, nami namnukuu.
1."The best friend of yours is death, the rest are hypocrites, be they siblings or whatever ".
2."The future of your country is loomed up into darkness ".
Wanaobeza, wabeze, Message sent and delivered.
Kwenda zako wewe. Unataka kuaminisha watu eti ujinga ulioandika ndiyo umefanya akatolewa. Lakini kwa nchi yenye ''nyumbu'' wasiofikiri mara mbaili kama yetu utapata waunga mkono.
 
Back
Top Bottom