Fungua account twitter na email fake na detail fake, then kadodondoshe mzigo... tupe tu jina la account ya twitter tuka ku follow.... au kama vipi post hapa hapa... c.c Baba Swalehe PSU Bos
Ethical Ninja CEH umetisha mkuu,nikajua unatishaga kule bar yetu ya JLW tu,wehu sana hawa makada wa tisi,wanajiona akili mingi kumbe zero!!