masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,758
- 16,584
nikipata mtotot wa kwanza naacha kazi
kama nitashindwa kuleta mama angu amlee
kama nitashindwa kuleta mama angu amlee
Vyote kwa pamoja...usiniulize kwa nini.
nikipata mtotot wa kwanza naacha kazi
kama nitashindwa kuleta mama angu amlee
I have a can-do attitude. I can cook, clean, run errands and then some.
Bongo kwa mtazamo wangu watu wengi wala hawahitaji maid.
Babysitters sawa, sikatai. Lakini hadi kupikiwa na kufuliwa nguo?
Unakuta familia nzima ipo nyumbani lakini wanapikiwa na msaidizi.
I shake my head in mystification.
*Na unasema ni ngumu sana kwa maisha ya Kitanzania? Mbona mimi sikulelewa na msaidizi wa kazi za ndani na leo hii nipo nina mji wangu na najitegemea mwenyewe? Wazazi wangu waliwezaji ilhali wote walikuwa ni wafanyakazi?*
I tell you a 'can-do attitude' goes a long way.
Kwanini mkuu?
Katika kulipiza visasi hakuna anayechagua "njia rahisi", wote huchagua njia itakayomuumiza mhusika the most.
Katika kulipiza visasi hakuna anayechagua "njia rahisi", wote huchagua njia itakayomuumiza mhusika the most.
Kwanza umenipa msamiati wa 'can do attitude'. Nimeipenda hiyo, ninaomba mimi kama Kasie uanzishe thread na utoe darasa kwenye hiyo can do attitude.
Si kama nasema uwe mfundaji au somo la, hiyo shuleitasaidia wengi hata ambao hawana watoto. Please Ngabu plea
Kwa sababu sito kupa jibu unalo litaka
I refuse to have a defeatist attitude in life. Defeatism won't get you anywhere. If your goal is to win, then a can-do attitude is the way to go.
On that note, therefore, I shall accede to your request and sooner rather than later I will start a 'life coaching' thread whereby folks will share and exchange their diverse life experiences and skills.
On a totally unrelated matter:
Kasie unaniumiza roho
Silali, nisipokuona ninaumia moyo
Kwenye mapenzi hakunaga komandoo
Unapokuwa mbali ninakumiss mno
Hahahahaa Ngabu bana, ningependa nisikie sauti yako yako itamke hayo maneno. Ujue umenikuna mbavu za moyo ivooo, am happy u accept my request yuupiiii have my hug ...waaow
Sina uhakika na uchambuzi wako..uko very general..lakini kwa kesi ya huyu dada wa Uganda hauko sahihi..kwanza kumbuka ameishi na ile familia 26 days only..so mambo ya nguo na lawama nyingine zinaweza zikawa sio kweli
nikipata mtotot wa kwanza naacha kazi
kama nitashindwa kuleta mama angu amlee
Anza kuzichanga uhakikishe the baby wont lack anything.
Umeshasikia maelezo ya upande wa huyo dada?
haijustify kuwa awe katili vile