Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #61
Sasa huoni kama njia aliyotumia huyo binti kushout out (juu ya 'kuteswa' kwake) imekuwa ni tatizo zaidi ya kuteswa? Imagine kwenda jela na kunyea debe wakati angeweza hata kutoroka akaiba say pesa au vitu ajilipe kama alikuwa hata mshahara halipwi.
Kufanyiwa unyama na kuondoka tu nako kunahitaji moyo na ni binadamu wachache sana wanaweza hili
Kama vile ambavyo tunaona ni hali ya ubinadamu tu iliyompelekea huyo jamaa kumuadhibu huyo dada kwa ukatili aliomfanyia huyo mtoto vivyo hivyo tuone ni ubinadamu tu umemuongoza huyo dada kufanya aliyofanya!