Nishajinyakulia wangu mapema mkuu
Kosa lako ni kudukua mawasiliano yakeshida ni nyie bana.mfano hai nilikuwa na dem tumekaa miaka 3 nikijua kabisa nitamuoa nikawa nafwatilia mawasiliano yake bila yeye kujua nikagundua analiwa na libaba limoja linafanya kaz ppf na hilo libaba ni rafik na kaka yake uyo demu.Nikamwacha uyo demu.Utasema mimi ndio namakosa?au mimi nimempotezea mda?
duh pole sn mkuu hakika nature has never bin fairUfukaraaa wa wanaume,
Ushoga wa wanaume,
afya mbovu ya wanaume,
Uzinzi wa wanaume,
Uathirika wa HIV Kwa wanaume,
Rate ya wafungwa wengi jela ni wanaume.
Wanawake wanazidi kuongezeka daily why mungu hayuko fair? hv dada zangu hapa hom wataolewa kweli au ndo ushakuwa mzigo wangu kuwahudumia bwana ebu niangalie kwa jicho la tatu!
Niweke tu akiba ya maneno mana jua bado halijazama kwakweli.
Acha tu usinikumbushe.Ulinichekeshaga wewe, ulimwambia baba yako ukome unatembeaga huangalii chini
Kama hujipendekezi, onyesha sehemu ambayo wamesemwa.Mbna mnawasema sana hao wanawake
Hiyo ni kweli. Unakuta ndio tuko wanaume wenye nia na mapenzi ya kweli. Lakin dada zetu ndio hao... hawaeleweki. mnakuwa mmepanga malengo.. gafla anakubadilikia..Sometimes sio sisi wanaume ndo tunamakosa....maana tunapanga kweli kumuoa mwanamke na unakuta ni kweli tunapenda kutoka moyoni, sasa sijui ni pepo gani linalowakumba wadada zetu ambapo mwisho wa siku wanaonekana katika hali ya kutoeleweka, hapo ndo mwanaume anafikia hali ya kumpotezea iwe ni kwa muda au moja kwa moja.
sasa nitakuwaje na mchumba/mpenzi sijui tabia yake..udukuzi muhimuKosa lako ni kudukua mawasiliano yake
Hahahaaaa!!! Khaah! Hiki kichambo balaa!!
Hahaha!, gaal, nimesoma huku nakauka mbavu..lol
Pole zetu sisi au yeye anayekosa usingizi kwa kufikiria vitu visivyomhusu? Masimango kama kaombwa hela ya lunch vile. 🙁
Anatulilia hapa hajaombwa hela, akiombwa si atazimia kabisa...Pole zake mbona!
Ngoja atoto aje 😀
Kuna muda hupaswi kulalamika sana jambo baya linapokutokea, its for yo own good. Maybe ungeng'ang'ana lingekupata zito zaidi.Hiyo ni kweli. Unakuta ndio tuko wanaume wenye nia na mapenzi ya kweli. Lakin dada zetu ndio hao... hawaeleweki. mnakuwa mmepanga malengo.. gafla anakubadilikia..
Unaamua tu kuakaa pembeni..