Pole PakaJimmy

Mkuu PJ poleni sana na msiba huu mkubwa...Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN....safari njema kuelekea na kurudi msibani.

 
Poleni sana, PJ na familia yote. Mungu akupeni nguvu ya kustahimili majonzi katika kipindi hiki kigumu. RIP Baba Mkwe wa PJ.
 
Pole sana mkuu PJ na shemeji.

Mungu awatangulie katika safari yenu na pia awape faraja wote walioguswa na msimba wa mzee wetu mpendwa.

R.I.P Mzee wetu mpendwa.

Raha ya milele umpe ebwana, na Mwanga wa milele umwangazie..Apumzike kwa Amani...AMINA!
 
Pole Pakajimmy mungu akupe moyo wa subira wewe na shemeji yetu !
 
pj pole hiyo ni njia ya kila kilichoko chini ya jua.bwana ametoa na bwana ametwaa
akupe nguv katika kipindi hichi kigumu.

rip ba mkwe
 
Poleni sana aisee. I'm sure ur wife is in good hands, u ar her father figure now.
 
Pole sana Paka Jimmy, rafiki yangu wa hiari hapa JF. Mwenyezi Mungu aibariki safari yako, ufike salama, uzike salama na urudi salama kwenye kituo chako cha ujenzi wa taifa. RIP MKWE wa PAKA JIMMY.
 
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAAJIUU'N...Kwake ALLAh na kwake tu sote sisi ndio marejeo yetu....pole sana kwa Mamaaa kwa kuondokewa na mzazi, hakika ni machungu kuondokewa na Mzazi, lakini amshukuru Mwenye ez Mungu kuwa amelelewa na baba yake mpaka amekuwa na hatimae ameozwa kwako PJ na bila shaka ameona vijukuu, wengine hawayapati hayo mtoto anafiwa na baba yuangali mdogo mama anahangaika pekee ,... pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…