KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
pole sana raisi mtarajiwa
Family tree hivi huwa inahusisha baba mkwe?Chora family tree halafu jaribisha kumdumbukiza humo uone ataingia wapi!
Poleni kwa msiba!
Chora family tree halafu jaribisha kumdumbukiza humo uone ataingia wapi!
Poleni kwa msiba!
Family tree hivi huwa inahusisha baba mkwe?
ngoja kwanza nikaangalie ile ya mzee Ndetirima
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
Pole Pamella kwa kufiwa na BabaMkwe!,Pole Nakaya kwa kupoteza Baba, Pole EL kwa kufiwa na Mzazi mwenzio, Poleni wana Arumeru na PROEL
Ndugu yangu Kaunga, nadhani utakuwa umenichanganya na mwenyewe mwenye jina hili, mimi ni Pasco wa jf, na huyo unamuona luningani ni Pascal Mayalla mwenyewe halisi!. Naomba usichanganye mambo ya Pascal halisi na mimi wa jf, ni vitu viwili tofauti, mimi usinichukulie serious hata kidogo, ila pia kama na huyo wa kwenye luninga hutamchukulia serious, hii sasa ni shauri yako. Ila pia hata huko luningani si kuna vipindi serious kama habari, na pia ze comedy ipo, sasa kama na yeye ni ze comedy pia ni kipindi!.Unajua nikikuangalia luningani na hapa nabaki kucheka tu; yaani l don't take u serious kabisa!
Hjivi kwa kiingereza huyo marehemu ni cousin wake Lowasa ama ni wifi yake kwa kiswahili? Naomba kujuzwa.
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
Family tree hivi huwa inahusisha baba mkwe?
ngoja kwanza nikaangalie ile ya mzee Ndetirima
nimeipenda hii.watu kwa kujipendekeza hamjambo
mbona hamkuanzisha special thread ya ndugu zake na marehemu REGIA??????
RIP JERRY and not otherwise!!!😛oa