Unalindaje heshima na ID fake!?Akili fupi, upeo mdogo,mada ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri...ungepita na zako ili kulinda heshima yako.
Mleta mada usitusemee
Sisi tunasimama na Bernad Kammilius Membe
Yeye ni mgombea pekee mwenye maono, sera na substance zinazohusu maendeleo sahihi ya mwananchi.
Katika wagombea wote wenye kuzungumza masuala ya wananchi, Membe ndiye anayeongoza!
Membe bado yupo kwenye mstari myoofu na atakuwa ndani ya muungano na atatimiza ndoto yake vizuri kabisa kama mwanzo, subirini mchakato ukamilike msiwe na short conclusions.Leo nitajikita kumshauri mgombea uraisi wa ACT wazalendo na wanasiasa wengine wa aina yake kwa kuwa naona kuna jambo sasa hivi halipo sawa. Ulipoaanza kuishambulia CCM kuna kundi kubwa sana liliibuka na kuku-support huko mitandaoni bila kujua kuwa hilo kundi kubwa huenda hata halipo ni watu wachache sana wanaotumia fake ID's nyingi ili kuonyesha kuwa upo sahihi.
Wakakupa kila aina ya sifa kuwa wewe ni jasusi mbobezi, mara mwanadiplomasia nguli, na wakafika mbali kwa kusema wapo tayari wakusaidie kushinda uraisi ukiwa CCM.
Bila kujiuliza na kutumia huo ujasusi waliokuvika ukaingia king mzima mzima. Sasa swali ulilonalo sasa je lile kundi limeenda wapi?? Ule ujasusi na udiplomasia nguli sasa hivi huna?? Ulikuwa ukiweka vijembe kwenye social media ulipata kila aina ya sifa, ndani ya dakika kadhaa tu comments za ID fake zinafika hadi 500, huku wakiwa na hashtag twende na membe 2020.
Sasa hivi vipo wapi vyote hivyo? Mbona wanaishia tena kukutukana na kukuita majina mabaya?? Membe uliwadekeza wale watu wa ID fake na mwisho ukazidi kuwapa bichwa kwa kuwaambia waendelee kutoa uhuru wa maoni kwa kadri watavyoona. Sasa ivi wanavyokutukana mbona unanuna tena jasusi??
Zile ID's zimehama kwako zimehamia kwa lissu, naye kishaingia king. Hajui kuna siku zitamtukana kila aina ya tusi na atashindwa kuelewa nini kimemtokea, ni suala la muda tu.
Membe nakuuliza tena, ule upepo wako upo wapi tena?? Mimi binafsi bado nakuona mtu mzuri anayeweza kuwa raisi mzuri tu ila tatizo wale wengi wenye ID's fake wamekukimbia na kuanza kukutukana hivyo tunaishiwa nguvu ambao tumebaki na wewe.
Lakini kumbuka ushindi ni kura, kumkataa aliye hama kutoka ccm haikufaidishi bsli unapoteza kura yake.Siasa ndivyo ilivyo. Lowasa, Mrema, na Sumaye wako wapi? Wote wamerudi "nyumbani". Kazi kweli. Upinzani unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
le twende na Membe 2020 si isikii tena haaa haaa waTZ nyoko sana.Leo nitajikita kumshauri mgombea uraisi wa ACT wazalendo na wanasiasa wengine wa aina yake kwa kuwa naona kuna jambo sasa hivi halipo sawa. Ulipoaanza kuishambulia CCM kuna kundi kubwa sana liliibuka na kuku-support huko mitandaoni bila kujua kuwa hilo kundi kubwa huenda hata halipo ni watu wachache sana wanaotumia fake ID's nyingi ili kuonyesha kuwa upo sahihi.
Wakakupa kila aina ya sifa kuwa wewe ni jasusi mbobezi, mara mwanadiplomasia nguli, na wakafika mbali kwa kusema wapo tayari wakusaidie kushinda uraisi ukiwa CCM.
Bila kujiuliza na kutumia huo ujasusi waliokuvika ukaingia king mzima mzima. Sasa swali ulilonalo sasa je lile kundi limeenda wapi?? Ule ujasusi na udiplomasia nguli sasa hivi huna?? Ulikuwa ukiweka vijembe kwenye social media ulipata kila aina ya sifa, ndani ya dakika kadhaa tu comments za ID fake zinafika hadi 500, huku wakiwa na hashtag twende na membe 2020.
Sasa hivi vipo wapi vyote hivyo? Mbona wanaishia tena kukutukana na kukuita majina mabaya?? Membe uliwadekeza wale watu wa ID fake na mwisho ukazidi kuwapa bichwa kwa kuwaambia waendelee kutoa uhuru wa maoni kwa kadri watavyoona. Sasa ivi wanavyokutukana mbona unanuna tena jasusi??
Zile ID's zimehama kwako zimehamia kwa lissu, naye kishaingia king. Hajui kuna siku zitamtukana kila aina ya tusi na atashindwa kuelewa nini kimemtokea, ni suala la muda tu.
Membe nakuuliza tena, ule upepo wako upo wapi tena?? Mimi binafsi bado nakuona mtu mzuri anayeweza kuwa raisi mzuri tu ila tatizo wale wengi wenye ID's fake wamekukimbia na kuanza kukutukana hivyo tunaishiwa nguvu ambao tumebaki na wewe.
Sema weweMliposema Tume Huru ilikuwepo?
Ask herMembe hata asipopata wewe utapata hasara gani? Membe na baba yako nani mwenye maisha mazuri?
Mbona sijaona ulichoshauri hapo? Au ulifikiri kutoa ushauri ni jambo rahisi!?Leo nitajikita kumshauri mgombea uraisi wa ACT wazalendo na wanasiasa wengine wa aina yake kwa kuwa naona kuna jambo sasa hivi halipo sawa. Ulipoaanza kuishambulia CCM kuna kundi kubwa sana liliibuka na kuku-support huko mitandaoni bila kujua kuwa hilo kundi kubwa huenda hata halipo ni watu wachache sana wanaotumia fake ID's nyingi ili kuonyesha kuwa upo sahihi.
Wakakupa kila aina ya sifa kuwa wewe ni jasusi mbobezi, mara mwanadiplomasia nguli, na wakafika mbali kwa kusema wapo tayari wakusaidie kushinda uraisi ukiwa CCM.
Bila kujiuliza na kutumia huo ujasusi waliokuvika ukaingia king mzima mzima. Sasa swali ulilonalo sasa je lile kundi limeenda wapi?? Ule ujasusi na udiplomasia nguli sasa hivi huna?? Ulikuwa ukiweka vijembe kwenye social media ulipata kila aina ya sifa, ndani ya dakika kadhaa tu comments za ID fake zinafika hadi 500, huku wakiwa na hashtag twende na membe 2020.
Sasa hivi vipo wapi vyote hivyo? Mbona wanaishia tena kukutukana na kukuita majina mabaya?? Membe uliwadekeza wale watu wa ID fake na mwisho ukazidi kuwapa bichwa kwa kuwaambia waendelee kutoa uhuru wa maoni kwa kadri watavyoona. Sasa ivi wanavyokutukana mbona unanuna tena jasusi??
Zile ID's zimehama kwako zimehamia kwa lissu, naye kishaingia king. Hajui kuna siku zitamtukana kila aina ya tusi na atashindwa kuelewa nini kimemtokea, ni suala la muda tu.
Membe nakuuliza tena, ule upepo wako upo wapi tena?? Mimi binafsi bado nakuona mtu mzuri anayeweza kuwa raisi mzuri tu ila tatizo wale wengi wenye ID's fake wamekukimbia na kuanza kukutukana hivyo tunaishiwa nguvu ambao tumebaki na wewe.
Sawa dingiAsk her
Bado LissuSiasa ndivyo ilivyo. Lowasa, Mrema, na Sumaye wako wapi? Wote wamerudi "nyumbani". Kazi kweli. Upinzani unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
hili la kwako nalo ni tusi lakini!Leo nitajikita kumshauri mgombea uraisi wa ACT wazalendo na wanasiasa wengine wa aina yake kwa kuwa naona kuna jambo sasa hivi halipo sawa. Ulipoaanza kuishambulia CCM kuna kundi kubwa sana liliibuka na kuku-support huko mitandaoni bila kujua kuwa hilo kundi kubwa huenda hata halipo ni watu wachache sana wanaotumia fake ID's nyingi ili kuonyesha kuwa upo sahihi.
Wakakupa kila aina ya sifa kuwa wewe ni jasusi mbobezi, mara mwanadiplomasia nguli, na wakafika mbali kwa kusema wapo tayari wakusaidie kushinda uraisi ukiwa CCM.
Bila kujiuliza na kutumia huo ujasusi waliokuvika ukaingia king mzima mzima. Sasa swali ulilonalo sasa je lile kundi limeenda wapi?? Ule ujasusi na udiplomasia nguli sasa hivi huna?? Ulikuwa ukiweka vijembe kwenye social media ulipata kila aina ya sifa, ndani ya dakika kadhaa tu comments za ID fake zinafika hadi 500, huku wakiwa na hashtag twende na membe 2020.
Sasa hivi vipo wapi vyote hivyo? Mbona wanaishia tena kukutukana na kukuita majina mabaya?? Membe uliwadekeza wale watu wa ID fake na mwisho ukazidi kuwapa bichwa kwa kuwaambia waendelee kutoa uhuru wa maoni kwa kadri watavyoona. Sasa ivi wanavyokutukana mbona unanuna tena jasusi??
Zile ID's zimehama kwako zimehamia kwa lissu, naye kishaingia king. Hajui kuna siku zitamtukana kila aina ya tusi na atashindwa kuelewa nini kimemtokea, ni suala la muda tu.
Membe nakuuliza tena, ule upepo wako upo wapi tena?? Mimi binafsi bado nakuona mtu mzuri anayeweza kuwa raisi mzuri tu ila tatizo wale wengi wenye ID's fake wamekukimbia na kuanza kukutukana hivyo tunaishiwa nguvu ambao tumebaki na wewe.
Membe sijaelewa kabisa calculations zake