Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,505
- 34,250
Leo nitajikita kumshauri mgombea uraisi wa ACT wazalendo na wanasiasa wengine wa aina yake kwa kuwa naona kuna jambo sasa hivi halipo sawa. Ulipoaanza kuishambulia CCM kuna kundi kubwa sana liliibuka na kuku-support huko mitandaoni bila kujua kuwa hilo kundi kubwa huenda hata halipo ni watu wachache sana wanaotumia fake ID's nyingi ili kuonyesha kuwa upo sahihi.
Wakakupa kila aina ya sifa kuwa wewe ni jasusi mbobezi, mara mwanadiplomasia nguli, na wakafika mbali kwa kusema wapo tayari wakusaidie kushinda uraisi ukiwa CCM.
Bila kujiuliza na kutumia huo ujasusi waliokuvika ukaingia king mzima mzima. Sasa swali ulilonalo sasa je lile kundi limeenda wapi?? Ule ujasusi na udiplomasia nguli sasa hivi huna?? Ulikuwa ukiweka vijembe kwenye social media ulipata kila aina ya sifa, ndani ya dakika kadhaa tu comments za ID fake zinafika hadi 500, huku wakiwa na hashtag twende na membe 2020.
Sasa hivi vipo wapi vyote hivyo? Mbona wanaishia tena kukutukana na kukuita majina mabaya?? Membe uliwadekeza wale watu wa ID fake na mwisho ukazidi kuwapa bichwa kwa kuwaambia waendelee kutoa uhuru wa maoni kwa kadri watavyoona. Sasa ivi wanavyokutukana mbona unanuna tena jasusi??
Zile ID's zimehama kwako zimehamia kwa lissu, naye kishaingia king. Hajui kuna siku zitamtukana kila aina ya tusi na atashindwa kuelewa nini kimemtokea, ni suala la muda tu.
Membe nakuuliza tena, ule upepo wako upo wapi tena?? Mimi binafsi bado nakuona mtu mzuri anayeweza kuwa raisi mzuri tu ila tatizo wale wengi wenye ID's fake wamekukimbia na kuanza kukutukana hivyo tunaishiwa nguvu ambao tumebaki na wewe.