Kumbe CHAMVIGA ni wa bumbuli ha ha ha naona povu lina kutoka kumtetea mghosi wa kaya......komaaa hivyo hivyo 2015 makamba akiwa rais utapata u DC......Ila nakubaliana na wewe kitu kimoja tu kwa jinsi januari anavyo ipigania bumbuli tofauti sana na shelukindo siku atleast ukiwa bumbuli utajihisi uko duniani maendeleo yana anza kuonekana kwa effort za makamba junior...hayo mengine ya kuhonga wachungaji mtajuana wenyewe...
Inafahamika kwamba Melinda Gates nd anatoa hayo mafweza cjui wanataka nini hapa TZ.......!!!Wamarekani wanataka Makamba Jr awe Rais, wanaamini chini ya Makamba Jr Masilahi yao yatakuwa salama...Fedha za kumuwezesha tayari zipo...
HIVI NI KWELI KUWA madame b NI MSAGAJI? Nauliza tu jamani ili mpenz wangu akae mbali naye.
Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?
Hizi ni nyakati za Mwisho na ww ni mtumishi wa mungu...umekula takrima na unafanya majungu
Huu unafki huku unamuuluzaje wqkati ulikuwepo kwny kikao na ukafakamia ubwabwa na bia
yaani baada ya nchi hii kuongozwa na kikwete kila mtu anajiona anauwezo wa kuliongoza taifa hili hata mandezi kama january eti naye anataka uraisi...
sina shaka kuwa alichokisema ndugu alinda ni uongo tena uongo mtupu! Kanda ya ziwa pekee haina maaskofu 152 vinginevyo kama anadhani kila kiongozi wa dini ya kikristo ni askofu!
Kama ulibahatika kukutana na JM uliogopa nin kumuuliza hayo maswali mpaka unayaleta huku?
Huo ni umbea....
Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?
Inafahamika kwamba Melinda Gates nd anatoa hayo mafweza cjui wanataka nini hapa TZ.......!!!