Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Haya mambo ni bahati nasibu, kuna jamaa alimsomesha demu wake chuo cha ualimu baadaye wakaoana sasa wana miaka kama nane ya ndoa yao.
 
aseeee, hakyanani wewe sikuwezi
 
Kwa vile mwanamke anatongozwa na ni haki yake kutongozwa sishangai hili.
 
Ukimsomesha binti msomeshe kwa minajiri ya kumsaidia tu na sio kigezo au factor ya kuwin mapenzi yake kwako!

Akikupenda na kuamua kuwa na wewe basi iwe ni hiari yake na sio kwa sababu umemsomesha.
 
Ukimsomesha binti msomeshe kwa minajiri ya kumsaidia tu na sio kigezo au factor ya kuwin mapenzi yake kwako!

Akikupenda na kuamua kuwa na wewe basi iwe ni hiari yake na sio kwa sababu umemsomesha.

Kabisa
 
Hawa binadamu sijui kama huwa wanajielewa
 
Dunia ya leo unasomesha mwanamke eti mchumba wako upotea bora ungesomesha ndugu zako wangekusaidia baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…