Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,557
- 2,532
Nipo level ya 6... Naona upo mbali......Kumi sasa hivi . Wewe Je ?
Nipo level ya 6... Naona upo mbali......Kumi sasa hivi . Wewe Je ?
FinlandUpo nchi gani?
Kuna case za vifo mtu alikuwa anacheza pokeman go.Finland
Nili install kwenye ipad yangu, ila nimeiondoa leo baada ya kuona inahitaji utembee kweli kweli na kibaya kazi yangu ni ya kukaa muda mrefu. Ila inaonekana ni nzuri sana.Binafsi huwa si chezagi video games at all.
Especially "cellphone games " rafiki
Yangu mmoja ameni introduced kwenye hii game initwa Pokemon Go.
Nimejikuta nime tembea kilometa 32 bila hata kujua.
Kwa wale ambao hawataki mazoezi hii game itakusaidia mno.
Honestly speaking nimependa mno jinsi wanavyochanganya mazoezi na games.
Kwa wale wanaofuatilia hizi types of games Je kuna games nyingine Kama hii?
Kwa wale ambao wame download hii game mnaichukuliaje??