Yales
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 517
- 527
Wakuu,
Kuna Team inayoambatwna na Rais nafikiri ama kwa kukosa ubunifu au uharaka basi wanatengeneza Podium ya kawaida mno.
Nimekosa kiswahili cha Podium ila ni Ile sehemu anayosimama raisi akihutubia. Inakuwa na Presidential standard seal sasa emu tazama hii aliyosimama mkuu wakati yupo Dodoma.
Haikuvutia kabisa ingawaje Mh Rais alivaa suti safi kabisa Tazama Na hii podium Alipokuwa nchi jirani uone ilivo.
Hizi ni baadhi ya picha za nje