Pasco CCM is everything in the ruleship! Hao wote ni wateule wa mwenyekiti wa chama na alegiance ipo kicham$a zaidi.
Tazama na suala la majaji nao wanvyoteuliwa hata bila kustahili, je wataacha kushindisha kesi dhidi ya ccm na serikali?????
Pasco CCM is everything in the ruleship! Hao wote ni wateule wa mwenyekiti wa chama na alegiance ipo kicham$a zaidi.
Mkuu Pasco
Mh Pinda yuko sahihi kwa mfumo wa nchi yetu maana tumerithi ule wa chama kimoja.
Ukiangalia kwa ukaribu, RC na DC ni baadhi ya wajumbe wakuu wa CCM kwenye maeneo yao ya kazi. lakini huwezi kuona wanakuwa wajumbe wa vikao vya opposition parties.
Na hii ndo kazi yao kubwa honestly. Ameongea ukweli japo ni mchungu but in reality kama uko mikoani, utaona ndo ukweli.
RC na DC hawatakiwi tena kwenye katiba mpya. Tunahitaji RAS na DAS na DED tu. Ukiingia kwa undani, hata DAS hana kazi ya muhimu.
Pinda amewafungua masikio watu wengi na itasaidia kwenye maoni ya katiba watu kulijadili jambo hili.
pole for being dissapointed Pasco, ila huo ndo ukweli. kama huamini toka da uje uishi kwenye mikoa mingine. Utauona huu upuuzi kwa uwazi kabisa
Tulisema hapa tangu anaapishwa, kwamba huyu jamaa bomu, watu wakaona tunaendekeza tahariri.
Sasa mnaona.
Na zaidi ya Pinda, tatizo ni system iliyomlea Pinda, maana huyu ni graduate wa UDSM aliyefanya kazi Usalama miaka mingi, akakaa kwenye corridors of power Ikulu huko, akagombea ubunge akapata, akapewa u PM.
Sasa inaonekana institutions zetu zote hizi hazijaweza kumuandaa vizuri kwa kazi hii.
Kuanzia elimu ya chini mpaka ya juu shahada ya sheria, usalama, Ikulu, bungeni, uwaziri, mpaka uzoefu wa miaka yote hiyo aliyokuwa PM, bado anacheza makidamakida mpaka leo.
Pathetic.
Ndio maana makamanda wa m4c walilipinga sana hili lakini magamba kwa kumtumia bi-kiroboto walitumia kanuni za kunyongea haki wakalipitisha. na sio hivyo tu kumbuka hata ukitaka kufanya mkutano wa kuwaelimisha watz namna ya kushiriki kwenye kutoa maoni ya katiba mpya ni lazima umuombe kibali DC(kada wa ccm)je kibali kitapatikana hapo kweli?Hivi hawa ma RC na DC si ndio Anna Kilalgo aliwatetea kuwa wawemo katika uratibu wa katiba mpya? Fikiria sasa ni upendeleo kiasi gani kwa CCM watakao uonyesha! Vyeo hivi vifutwe kabisa ndani ya katiba
Hakuna kitu, ni siasa uchwara tulizorithi kutoka mfumo kandamizi wa chama kimoja, katiba mpya italiweka hili sawa. Mkuu wa wilaya na upendeleo wa kichama wapi na wapi?! ni kituko, wakuu wa mikoa na wilaya kuwa serikali kuu kwangu mimi ni tatizo pia. Chama unatetea upuuzi kwa hoja nyembamba za kimarekani
Tulisema hapa tangu anaapishwa, kwamba huyu jamaa bomu, watu wakaona tunaendekeza tahariri.
Sasa mnaona.
Na zaidi ya Pinda, tatizo ni system iliyomlea Pinda, maana huyu ni graduate wa UDSM aliyefanya kazi Usalama miaka mingi, akakaa kwenye corridors of power Ikulu huko, akagombea ubunge akapata, akapewa u PM.
Sasa inaonekana institutions zetu zote hizi hazijaweza kumuandaa vizuri kwa kazi hii.
Kuanzia elimu ya chini mpaka ya juu shahada ya sheria, usalama, Ikulu, bungeni, uwaziri, mpaka uzoefu wa miaka yote hiyo aliyokuwa PM, bado anacheza makidamakida mpaka leo.
Pathetic.
Ni aibu sana kwa mtu wa umri kama wake na uzoefu wote aliosemekana kuwa anao. Mimi nafikiri huwa anauacha nyuma ubongo wake wakati anazungumza.
Pinda alitumia mfano
wa kawaida ili kila mtu aelewe! Yani kama RC au DC akifanya kazi vizuri
sifa na imani ya wananchi inaenda kwa serikali husika na chama
husika,kwa kua Chama chenye serikali ni CCM hivyo kufanya kazi vizuri
kwa RC au DC kunaifanya CCM iendelee madarakani,Pinda yupo sahihi na
Ukweli ndio huo!
Tazama na suala la majaji nao
wanvyoteuliwa hata bila kustahili, je wataacha kushindisha kesi dhidi
ya ccm na serikali?????
nilisema mara zote bila utani hakuna kiongozi mzuri anayeweza kutikea
ccm kwa mfumo wao na kila anayekuja anaishia maneno tu wote ni vibaraka
wa ufisadi hata kwenye nyumba za ibada wangefungiwa milango hawa
viongozi wa ccm
Mnazungusha maneno tu...jukumu la kwanza la mwanaccm ni nini? Soma ibara ya 15:1 ya katiba ya katiba ya CCM kuweza kupata majibu.