omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,703
haya ndio mawazo ya kijinga ambayo hayapaswi kukumbatiwa na bahati mbaya baadhi yetu hawayaoni badala yake wanashangaa kwa nini nchi ni masikini!Hakuna kitu, ni siasa uchwara tulizorithi kutoka mfumo kandamizi wa chama kimoja, katiba mpya italiweka hili sawa. Mkuu wa wilaya na upendeleo wa kichama wapi na wapi?! ni kituko, wakuu wa mikoa na wilaya kuwa serikali kuu kwangu mimi ni tatizo pia. Chama unatetea upuuzi kwa hoja nyembamba za kimarekani
Inakuwaje kodi za wasio hata na vyama zisaidie kuendesha chama kilichoprove kushindwa!?