PM, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda; Sorry, You are very wrong!

PM, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda; Sorry, You are very wrong!

Mungu anawaanika wana CCM mchana kweupe. Wamelewa madaraka hata haelewi alama za nyakati na kubadilika. Kuropoka kwao kunazidi kuwadhalilisha bila wao kujijua. Kauli kama hizi zinatia wananchi hasira sana. Sasa mwisho wake ni nini? Such statements will only insight anger and raise awesome awareness of the oppressed thus developing efective strategies on how to deal with CCM during the coming elections. The ballot box will speak siyo hawa watu wa hila na ghiliba!!!!
 
Pasco, Kizotaka;
Nimesema kauli ina unatata hapo inamaanisha sikubaliani moja kwa moja na kauli ya waziri mkuu; nimeongezea serikali ni ya CCM sera zinazofanya kazi ni za CCM; sasa tatizo lipo wapi au ni kitu gani ambacho hakieleweki? mkuu Pasco tuwekee hiyo hotuba nzima kwa sababu siku kuna matatizo ya kunukuu nina uhakika maneno ya waziri ya waziri mkuu hayakuishia hapo tuwekee clip nzima tuisikilize hapo ndipo tutakuwa na mjadala mzuri; inawezekana umenukuu kile unachotaka tusikie, hoja kimarekani sio nyepesi wateule wa raisi wanatekeleza sera za raisi aliyewateua na raisi anatelekeza sera za chama chake; sasa itakuwa ajabu sana kwa wakuu wa wilaya kutekeleza sera za chadema; si unakumbuka yule mkuu wa wilaya Mbeya kama sikosei alikuwa Rungwe alijaribu kuleta sera za Chadema wakati ni mteule wa CCM matokeo yake alijichanganya mwenyewe.

Chama
Gongo la mboto DSM- in vacation Puerto Vallarta

Sina mengi ya kuongeza,ila nasema hivi kati ya ma PM tuliowahi kuwapata MKPP NI BOGUS KULIKO.
 
Hata mi ile kauli ilinichefua. Katika bunge hili nimemwona huyu mzee akiwa na hasira zaidi na wapinzani kuliko wanaochafua nchi kwa ufisadi. Ni wazi kuwa ccm hawana tena nia nzuri na ustawi wa nchi hii kwa kuwa wako radhi kwa lolote litakalowaahidi kushika Dola. Ni macho na masikio yetu tu hapo 2015
 
Nani anaamini kuwa CCM itaachia madaraka pale itakaposhindwa uchaguzi? Kauli hiyo ya pinda inatoa ujumbe mahususi kuwa tujipange kiaina kuweza kuwatoa madarakani na sio kutegemea sanduku la kura, Hivi kitendo walichomfanyia
Dr Ulimboka mnafikiri kilikuwa bahati mbaya au hakina uhusiano na long plan zao za kutawala milele? Chadema inavyozunguka inchi nzima mnafikiri CCM inapenda? Rejea kauli ya Nape kuhusu michango ya hisani toka kwa mzee Sabodo au kauli ya Nape huyo huyo juzi alipotamka kuwa Chadema inapata michango toka kwa wahisani nje ya inchi, Hawa CCM sasa wamechanganyikiwa vibaya na wakati huo huo wanaona dalili zote za kuporomoka

Huyu mzee Pinda kama Pinda achaneni nae na tuendelee kuufumua utawala dhalimu kwa mbinu zozote zile tunazoona zinafaa, Pinda tayari Mungu anampa dozi ndogondogo kama tulivyosikia fuso lilivyowanyonga ndugu zake huko Rukwa
 
Nakumbuka "Zanzibar si nchi" alipotamka hili waznz waliumia sana na mpk leo kidonda hiki hakijapoa, ulikua ndio mwanzo wa kuamshwa waznz. Ila tumpongeze huyu PM kwa kusema ukweli ambao na sasa unawaamsha hata watanganyika walokua hawajui siasa. Kutamka wakuu wa mikoa/wilaya wanafanya kazi za chama ni sahihi kabila na wala hajababaika kama mkuu wa nchi alozoea kuwatia watu changa la macho.. Hapa sasa ndio na nyinyi watanganyika munaamshwa mumezoe kulala baa sana hamjui mnalolifanya.
 
Kama alivyo J.K hata Pinda ni chaguo la Mungu. Uzao wa 4 ni wa mabadiliko.

Hawa watu wawili na viongozi wengine ktk chama chao wanaleta mabadiliko makubwa sana. Pinda anaongea ukweli mtupu ila hajijui wala hajitambui na wengine wanaongea tena lugha moja lkn hawaelewani
 
Kama alivyo J.K hata Pinda ni chaguo la Mungu. Uzao wa 4 ni wa mabadiliko.

Hawa watu wawili na viongozi wengine ktk chama chao wanaleta mabadiliko makubwa sana. Pinda anaongea ukweli mtupu ila hajijui wala hajitambui na wengine wanaongea tena lugha moja lkn hawaelewani.

Yote haya ni makusudi ya Mungu. Mungu amewachagua hawa watu ili yote yaliyokusudiwa YATIMIE.
 
Kifupi kama majibu ndio yale hatutarajii mapya, lakini kasema ukweli anapaswa kupongezwa kwani huo ndio ukweli sikuzote .
 
nasikitika wewe unae endelea kumwita mhe wakati huo huo unasema hafai ,mwite jina lake yeye kama yeye
 
sijuin ni vigezo gani vilitumika kumpata waziri mkuu wa aina hii .tunahitaji mtu anayejali utaifa kwanza .ameonyesha kuanguka ingekuwa pale london ni kura nje hufai ,bahati umezaliwa tanzania
 
Watu wanashangazwa na kauli ya Mnyeti, hadi wengine kudhani kuwa amekosea, kiukweli kabisa, Mnyeti, hajakosea kitu!, huu ndio ukweli wenyewe wa kinachoendelea!.
Labda kama kosa lake ni kusema wazi, lakini haya ndio maelekezo wanayopewa, na huo ndio utendaji kazi wa serikali yetu!.

Hata mimi niliposikia kauli kama ya Mnyeti, ikitoka kwa kiongozi mkubwa kama PM, nilipandisha bandiko hili humu if nikidhani huyu alikosea..
PM, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda; Sorry, You are very wrong!

Kumbe Pinda was very right!. I was wrong!.
Sorry Mhe. Pinda, kumbe mimi ndio nilikosea!.

P
 
Ni kweli mkuu. Tuna tatizo la kusahau mapema. Demokrasia imekuwa ikikandamizwa na ccm kitambo tu.
 
Wanabodi,
kupitia taarifa za habari, nimemsikia Mhe. Pinda, akisema kuwa ni jukumu la wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kuhakikisha CCM inashinda chaguzi zote ili CCM iendelee kutawala milele!.

Paskali.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, alipotoa kauli hii, mimi ni miongoni mwa waliomshutumu kwa kauli hiyo!, kwa sasa nipaswa kumuomba msamaha Mhe. Pinda, kwa sababu huu ndio ukweli wenyewe!, ukweli halisi!, na atakayebisha, au atakayepinga ukweli huu, atapata taabu sana!.

Paskali
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.

Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.

Chanzo: Clouds Media
Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
 
Back
Top Bottom