Yaah! hasa ukilinganisha na 10,000 wanazopata Drs wakiwa on call kuanzia saa9 jioni hadi saa 2 asubuhi ya kesho yake.Mimi naona 200,000 ni kidogo sana kwa mbunge, unless uwe umeshawekeza kama Zitto kwenye ma biashara mengine.
Hii ndiyo CCM bwana!

Mchukie mungu wako kwa kukukosesha marks za kuingia UDSM matokeo yake ukaenda vyuo vya waliofeli. Rejao ni level nyingine!
Mchukie mungu wako kwa kukukosesha marks za kuingia UDSM matokeo yake ukaenda vyuo vya waliofeli. Rejao ni level nyingine!
Kwanza siko kudhihirisha uwezo wangu hapa...Pili we ulitaka nifanyeje!Kaka napata wasiwasi na huwezo wako mtu anamuita member mwezake chizi wewe unamgongea LIke
This is from Mh. Zitto Kabwe Zitto kwenye mtandao wake wa Twitter…
Just informed that the PM had a meeting with Editors today and confirmed a new rate for sitting allowance to MPs ie 200,000 tshs a day.
The PM says, he was asked by the President to deal with the matter. It is against the law for a PM to approve new rates.
...
Mimi naona 200,000 ni kidogo sana kwa mbunge, unless uwe umeshawekeza kama Zitto kwenye ma biashara mengine.
Na zumbemkuu likes this.
Hii kweli ni vita ndani ya CDM..yaani siku zoooote the so called Zumbemkuu amekuwa akipingana na huyu mama..ila leo kwa kuwa Zitto karushiwa kijembe naona amempa ''like'' duuuuuuuuuuuuh! chuki mpaka basi dhidi ya Zitto.