Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
The way the coookie crumbles......
walala hoi poleni sana...
walala hoi poleni sana...
Biashara zipi hizo??
The PM says, he was asked by the President to deal with the matter. It is against the law for a PM to approve new rates.
Ni hivi..PM kawaambia wana habari (Ma-editor) kuwa kaagizwa na mkuu wa kaya ashughulikie suala la posho ya watu wa mjengoni pale Idodomya...Sasa Kamanda Zitto ana-wonder, inakuaje Mkulima anashughulia suala hilo yeti kwanza suala lenyewe halipo kisheria lakini vile vile hata kama lipo, sio yeye anayepaswa ku-deal nalo!
Kugombea ubunge ni haki ya kila raia... Ukihitaji hizo laki 2, 2015 siyo mbali!!
Mimi naona 200,000 ni kidogo sana kwa mbunge, unless uwe umeshawekeza kama Zitto kwenye ma biashara mengine.
Kugombea ubunge ni haki ya kila raia... Ukihitaji hizo laki 2, 2015 siyo mbali!!
Ubunge ni kazi nzito, wewe unatumwa na watu wenye mawazo mbalimbali halafu unayachambua na kuwakilisha bungeni. Posho ingekuwa $500 kwa siku
afadhali umemuuliza wewe mwenzake. Siasa zisizo na macho, zinazoangalia nani kapigwa bao hata hilo bao ni bao kwa wanancho wote, ni wehu na wendawazimu! Kichaa peke yake ndo anaweza kushangilia jambo hili.
The PM says, he was asked by the President to deal with the matter. It is against the law for a PM to approve new rates.
Mchukie mungu wako kwa kukukosesha marks za kuingia UDSM matokeo yake ukaenda vyuo vya waliofeli. Rejao ni level nyingine!Kama wewe ni mmoja wa wahitimu wa udsm ndo siku zote unatapika pumba kiasi hicho, basi mi namshukuru Mungu sana sijasoma pale.
With immediate Effect.Lini zinaanza kulipwa?
Mwenzake kivipi???
Mchukie mungu wako kwa kukukosesha marks za kuingia UDSM matokeo yake ukaenda vyuo vya waliofeli. Rejao ni level nyingine!