AM A GRAPHIC DESIGNER hii ni real na hicho kivuli ni taa za camera za tv huoni banner nyuma hapo? mijitu mingine bwana
Hii si photoshop kweli?
Jinsi JMK alivyo i "promote" Tanzania ndani ya USA, hivi sasa tunashuhudia wimbi la Wamerekani wakija kutalii na kutumia Tanzania na baada ya muda si mrefu USA ndio itakuwa nchi ya kwanza kwa kuleta watalii wengi Tanzania. Anachonifurahisha JMK ni kuwa analenga wapi kwa watumiaji wakubwa wa fedha Merekani ambao hata wakija Tanzania hawaji kama backpackers.
JMK tija ya ziara zako Merekani na kazi njema unayoifanya tunaiona, haina shaka ndani yake. Wacha wenye vijiba vya roho wafe navyo.
usihof na wwe utapiga naekawaida sana, kwani mlitaka apige na ma bouncer?
Jinsi JMK alivyo i "promote" Tanzania ndani ya USA, hivi sasa tunashuhudia wimbi la Wamerekani wakija kutalii na kutumia Tanzania na baada ya muda si mrefu USA ndio itakuwa nchi ya kwanza kwa kuleta watalii wengi Tanzania. Anachonifurahisha JMK ni kuwa analenga wapi kwa watumiaji wakubwa wa fedha Merekani ambao hata wakija Tanzania hawaji kama backpackers.
JMK tija ya ziara zako Merekani na kazi njema unayoifanya tunaiona, haina shaka ndani yake. Wacha wenye vijiba vya roho wafe navyo.
Ndiyo hii ni photo edit ukitaka kujua angalia picha ya JK kwa nyuma karibu na masikio kuna kivuli ambacho kinaonesha wazi kuwa picha ya JK imepachikwa.