Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
- Thread starter
-
- #101
Wewe Mwana CCM acha ushamba wako. Unatetea chema chenye siasa uchwara ambacho Mbunge wa Igunga wa zamani alikiri.Unatakiwa kubadilika.
Acheni visingizio vya kitoto!! Kwanza cdm hawatapata kura ya muislamu hata 1,wanazuoni wa kiislamu wameshatamka
All in all tukubali ccm ni wezi wa kura na ndio wanaopandikiza udini na ukabila ambao ni usaliti mkubwa kwa mwalimu nyerere, nilikua sitegemei usaliti kama huo kufanywana na chama alichokua nyerere ila imetokea ivo, masiki tz amani tuliyoa achiwa na mwasisi wa chama inapotelea mikononi mwa chama hichohicho
Excuses ni mbaya sana! Mtu ambaye kila anaposhindwa basi ana kisingizio huwa hafanikiwi
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
iikyo na loi.Mwambie aliyekutuma kuwa, huo mpango wake wa kuiba kura utamgharimu yeye na ukoo wake. Dhuluma hii siyo nzuri anaweka laana kwenye ukoo wake na kizazi chake.
Wewe huko duniani gaaaniii?KENYA 2008 PNU VS ODM chama gani kilikuwa na wabunge wengi tena wakuchaguliwa na nani alitangazwa kuwa mshindi wa urais?Dont be a miser in thinking!!
Kwani matokeo yashatangazwa na ikaonekana tayari wameshashindwa natume ya uchaguzi imeshatangaza hamna uchaguzi?Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Nasikia harufu ya masaburi saburi!!
Cdm bana kwa matusi na vurugu wanaongoza! Hapa angetukana anti-cdm angekuwa banned tayari! Jf kuna upendeleo flan
Matusi ya nini sasa chademas?? Halafu wewe ni kiongozi mkubwa tu wa chama,jiheshimu bana!! Mods watu kama hawa wanawaangalia tu,hapo angekuwa ni mwita25,ritz,rejao et cetera wangekuwa banned already
na lazima kitaeleweka mmezoea kuiba kura, ibeni na hapa igunga tuone, ni lazima pachimbike msijeleta huo wizi wenu hapa.
kwa nini mtanzania usivite bangi za tanzania kama ile ya tarime au mererani, hizi za nje ni mbaya sana matokeo yake ni haya unaandika upuuuz.