Jolene x3 l am begging of u please don't take my man. You can have a choice of men, but l could not love again, he is the only one for me Jolene.
Dolly Parton aliimba.
Pumbavvvvvv mwanaume gani unajiliza kibwege namna hiyo kisa mwanamke?
Wewe na Daniel, nyote ni wavulana wala si wanaume, siwatofautishi na Munissi wala Mushi wa Ufoo!I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...

Unatia huruma mkuu.....hahahahahaha una pesa ngap nikuonganishe na vijana wa kazi wa deal nae ?? Kwan kua na hela kitu gan ?? Watu wanakufanyia tu mjini hapa na unakua na respect kwa madem wa wenzio. Be a man and fight for what belongs to you nigga. Sikiliza chorus ya 50 Cent hapo chini.
The last time I checked msichana ama "demu" ni binadamu mwenye utashi wa kuamua mema na mabaya. I fail to understand kwa nini umfanyizie mtu wakati huyo mtu wako mwenye huo utashi kaona kuwa naye ni jambo jema kwake . Kama Daniel kachaguliwa na aachwe ajilie vyake alivyogharamikia
Huyu jamaa ana sikitisha sana yani hajiamini hata chembe.ujinga mtupu.
We unataka alie kisa mwanaume mwenzie!!!!keshasema kuwa hapo ndio moyo wake umefika so u got to respect his feelings