Please Could You Be Honesty to Us? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please Could You Be Honesty to Us?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, May 19, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi salamu!

  Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya jambo hili. Since most of the times tunakuwa tunalia kutendwa kimapenzi na bahati mbaya sana tunatupiana lawama kila mara, je inawezekana kina kaka, shemeji na kina baba mkawa wawazi kwa kueleza ni vitu gani huwa mnavitamani kwa magalfried/wachumba au wake zenu? Yaani design ya sipendi/napenda

  Swali hili liko direct kwa wanaume............nimefanya makusudi kuwauliza wanaume kwani ninaamini kabisa chochote mtakachosema, kina dada tutakuwa na either la kujitetea au kukiri hapa kwenu.

  Hii ninaomba itumike kama njia mojawapo ya kuwasaidia walioko nje kama kujua nini kina kaka mnapenda kwa mwanamke na kuelewa iwapo kuna ugumu wowote wa kutekeleza mtakacho/mpendacho kutokana na experience za wanawake wengine. Pia kusaidia walioko ndani kurekebisha mambo kwa faida ya ndoa zao.

  Nitaanza na nilichoambiwa na wa kwangu: Anapenda mwanamke ambaye yuko straight forward.........yaani amemuudhi/amekosea basi amwambie sio kununa nuna kama kuku aliye kwenye heat (haya ni maneno yake na si yangu..........sa sijui mie huwa ninanunanuna!!!)
   
 2. D

  Derimto JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Napenda sana uwazi tena uliopitiliza siwezi kamwe kushindwana na mwanamke muwazi kama mimi nilivyo yaani namaanisha hata kama amegawa jana akisema ukweli nitamsamehe na kutafuta sababu ya kwa nini aligawa utamu wangu kwa mwingine na kama ni udhaifu wangu nirekebishe na kama ni wake nimsaidie lakini hii ya baadhi ya wanawake kujifanya wajuaji na kudharau upeo wa mwanaume wa kugundua mambo huwa inanikera kuliko chochote! Bai ze wei misi yoo MJ1
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mimi napenda variety. Yaani napenda wachuchu wa dizaini mbalimbali. Kwa mfano, napenda wanene, napenda vimobitel, napenda Wachaga, napenda Wamburu, napenda wenye nyonyo kubwa kubwa, napenda watundu watundu na walio wakorofi kiasi. Sipendi wapole kupindukia. Sipendi walokole ila pia sipendi wapagani.

  Wale wanaopenda kujichubua mimi nina mzio nao. Nywele za kafaulaya naweza kuzivumilia.

  Pia napenda wabunifu hususan kwenye maloveee. Napenda wasafi. Sipendi walio walevi kupindukia. Daaah yaani napenda dizaini nyingi mno. Sasa sijui kama nimejibu swali lako au ndo nimeharibu kabisa. Ila nimejibu kwa ukweli.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mwenzenu napenda mchuchu mweupe, mrefu, mwembamba (model), mchuchu msafi, mjanja, anaejua mapenz, mwenye kujali hisia zangu etc kifupi sipend madem wanene!
   
 5. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie napenda weusi no mkorogo
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mimi napenda machangudoa - do it and forget it - no strings attached!
   
 7. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ai wewe ngoja Mama Enock aone
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kamanda... KWanza naomba nikushukuru from the central point of my heart kwamba ile support, i won!!

  sasa hii message ya saa nane kasoro usku halafu unaomba tukupe mbinu za mchezo hii......... HAYA BHANA!!!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  HII YA KAFAULAYA HII........:biggrin1:
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Akishakuwa MKWELI ...unaoeleweka na kukubalika, mengine yote yatakuwa rahisi kwangu.
  Kuishi na mwanamke muongo ni hatari sana!

  Siku njema.
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Haah, muda mrefu sijakuona MJ1,mzima lakini??....ngoja nitarudi badae!!:A S 103:
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  I am proud of you bro!!!!!!!!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Mate, Mario Ocampo katangaza nafasi za kazi..........
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unajua MJ1, swali lako kiasi fulani liko too general,
  nadhani unaweza usipate majibu unayotarajia kwa kiasi fulani,
  au ukapata majibu mengi kutoka katika mitazamo tofauti ya swali lako,
  Labda ningependa kufahamu kuwa hapa tunaangalia umbo la nje la mwanamke,
  au tabia/hulka ya mwanamke kwa ujumla,
  Binafsi naona kuna tofauti hapo, tukiwa tunaongelea umbo na sura ya nje ya mwanamke Vs tabia/hulka yake

  MFANO: MWANAUME umeoa, kisha unasema kuwa unapenda mwanamke mnene, wakati mkeo ulie nae ni mwembamba,
  sasa hapo sijui inakuwaje?

  Labda MJ1, ningeomba ufafanuzi zaidi wa swali lako!!!!!!
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Derimto, Missing you too

  Mh hapo kwenye uwazi wa hivyo ni muhimu lakini mara nyingi huwa ni ngumu kusema ukweli. Halafu kuna sehemu nilisoma wanadai kwa mwanamke kutoka nje ya mahusiano huwa kuna kitu wamekosa kwenye current mahusiano yao but why asikwambie kwanza? mi sijui
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha aksante Nyani Ngabu kwa kuwa muwazi loh............ nimependa ulivyoainisha uvipendavyo na usivyovipenda.

  Umejibu swali langu nadhani mimi ndio nimejichanganya kwa kutokuspecify.....well nilichotaka kukilenga hapa ni tabia na mwonekano wa ujumla kwa mwanamke ambaye unaweza kumclassify kama a wife material
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  dah siku moja moja uwa una akil enhh
  yap namimi pia nimeliona ilo kuna watu wanaanza kudiverge kujibu swali....
  mwanajamii alimaanisha hulka ,tabia,mambo ambayo unataka ufanyiwe km mwanaume...ayo ambayo mnaenda kutafuta nje nini..


  wengne ohh napenda mwembamba...mnene...ajamaanisha ivo

  sasa wew mbona umeoa mwembamba na unaenda nje unamchukua tena mwembamba...ye alimaanisha mambo yetu yaleeeeeeeeeee na associates zake..aweje yaan ..akufanyiae nin?akupikie nin na mambo za sampuli io..lakin AJAMAANISHA KUULIZA JE UNAPENDA MWANAMKE MWEMBAMBA,MNENE,MFUP AU KIFUTU?

  ELEWEN SWALI.

  NAWASILISHA.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaaaaaa.....

  Mimi wasiwasi wangu ni hizi PhD mbili, ya Lizzy na ya MJ1; kama zinakaribia kutuweka nusu uchi humu

  sasa nikisema napenda awe anavuta ganja watanielewa kweli??
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Gagurito mh so mie kwako sina nafasi?LOL
  Haya kitabia, hulka je? ungependa mwanamke gani ambaye kwako unamdefine kama mke mwema?
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  okay........!

  lakini the way i see myself ni kwamba I AM TOO DEMANDING..!

  i want everything,of which is never possible as per HUMAN NATURE
   
Loading...