Play Gal ( Tina zoa zoa)

Play Gal ( Tina zoa zoa)

Ilipoishia
... ...nikayashika maziwa yangu
vizuri mpaka yakapanda juu kama
yanataka kutoka.
Muda wote Nyemo alikuwa
kazubaa tu..
"..Nyemo endesha gari twende..
'
Endelea...
"..lakini si umeshajua tunaelekea wapi..?"
"...si unanipeleka alipo Jerry au..?"
"...mie Bro Jerry kaniambia nije nikuchukue kisha
nikupeke mpaka kwake, hivyo akitoka huko
Temeke atakukuta.."
"...ok, nimekuelewa Nyemo.." Baada ya hapo Nyemo aliwasha gari na safari
yakuelekea huko kwa Jerry ikaanza huku mie akili
ikinibadilika nakujikuta nikimtamani Nyemo njia
zote tulizopita.
"...Nyemo hizo ni nywele zako halisi.."
Nilikuwa mtu wa kumchokoza Nyemo njiani, kwani kiukweli nywele zake zilikuwa kama zimewekewa
dawa na ukichanganya na weupe aliokuwa nao
daah..
Ilituchukuwa kama nusu saa mpaka kufika
maeneo ya Msasani ambapo alikuwa akiishi Jerry..
"..Nyemo nikuulize kitu..?" "..uliza tu wala usihofu.."
"..embu niambie ukweli, Jerry kashaoa..?"
Nilimtega maksudi Nyemo kwa swali hilo baada ya
kuona jumba aliokuwa akiishi Jerry.
Nyemo alisita, akawa kama hajiamini amini jinsi ya
kunijibu hivyo akilini mwangu nikawa nimeshajua kuwa atakuwa keshaoa,
"..hata kama, mie namtaka mdogo wake tu
atanitosha.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea jicho
la kimahaba Nyemo kisha akashuka kunifungulia
mlango wa gari nakushuka kama vile mtoto wa mfalme au malkia..
Kulikuwa na geti ndani yake magari matatu. Masofa
ya kisasa, meza za vioo na vistuli vya vioo ndivyo
vilivyonichanganya kabisa, hakukuwa na
mfanyakazi wa ndani yeyote, nikiwa bado
nashangaa shangaa pale sebuleni ndipo macho yangu yakakutana moja kwa moja na fremu
kubwa ukutani,
"..Nyemo..? Huyu si kaka yako Jerry akiwa na
mkewe siku ya ndoa..?"
Nyemo hakuwa na chakunijibu zaidi yakubaki
nakigugumizi huku akinitolea macho natabasamu kwa mbali,
"...Nyemo..? Embu nionyeshe chooni wapi
nikajisaidie, nimebanwa na mkojo.."
Alinielekeza nikaingia japo lengo langu halikuwa
kwenda kujisaidia, niliofika chooni tu,
"..Nyemooo..!! Nyemooo...!!" Nilimwita Nyemo kwa makusudi ili aje chooni
nilipo, alikuja akagonga mlango wa choo
nilichokuwepo, niliufungua kiupande huku
nikitokeza kichwa kidogo,
"..samahani kwa kukusumbua Nyemo.."
"..usihofu bila samahani.." "..Kwenye mkoba wangu niliokuja nao kuna 'Pedi'
naomba ukaniletee.."
Nyemo alionesha kusita kisha akaenda kuniletea,
nilikuwa hata 'bleed' sijaanza ila ule ulikuwa ni
mtego tu kwa Nyemo..
"..Chukua hizi hapa.." Sikutaka kuzichukuwa kwa muda ule zaidi ya
kumshika Nyemo tisheti yake nakumvuta mpaka
akajikuta tupo naye chooni tena huku akihema juu
juu,
"...Nyemo usiniogope pliiz.."
"...mh hapana, Tina chukuwa 'pedi' zako, niache niende.."
Muda wote Nyemo alikuwa akiangalia kwa
pembeni huku akitaka kundoka..
"...Nyemo mie simtaki kaka yako kwanza anamke
na kashaoa..."
"..Tina hapana, hapana haiwezekani uwe namimi.." Nyemo alichoropoka na kunikiambia pale chooni..
"..hanijui kama naitwa Tina zoa zoa tena bila
uoga.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimfuata Nyemo
mpaka sebuleni alipokuwa tena nikiwa uchi wa
mnyama na mikononi nikizishikilia zile 'pedi'.. Nilipofika tu sebuleni nilimkuta Nyemo akiongea na
simu, sikuingiwa hata na woga kwani akili yangu
yote niliielekezea ni jinsi gani nitamkabili handsome
boy Nyemo..
Nilikuwa kama mtu aliyepigwa na butwaa kwa
kumshangaa Nyemo mpaka alipomaliza kuongea na simu..
"..Tina nilikuwa naongea na bro Jerry.."
"..enh anasemaje..?"
"..mie nilijua labda mnamahusiano yeyote..?"
"..si rafiki tu.."
"..kama ni rafiki basi kaa ukijua bro Jerry alikuwa Temeke kwa wakwe na siyo kwa shangazi, na
alikwenda kusuluhishwa na mke wake.."
"..enh kwa hiyo..? Lakini mie nakutaka wewe
Nyemo.."
"...embu vaa vinguo vyako na tena potea haraka
kwani bro Jerry yupo njiani anakuja na mke wake wasije wakakukuta hapa..."
"...yaani kwa kifupi tu leo hapa Nyemo sitoki
mpaka unipe ninachotaka.."
"..enh enh nini unachotaka kwangu we malaya..?"
"...hata unitukane vipi Nyemo mie nataka ni sex tu
na wewe nitaridhika.." Mwili wangu ulikuwa tayari wa moto huku nikijihisi
kutokwa na maji maji sehemu zangu za s**i..
Nilimwangukia Nyemo mpaka miguuni mwake
huku nikishikwa na kwikwi si yakiu ya maji wala
ya kulia bali ilikuwa ni kwikwi ya hamu ya kufanya
mapenzi kwani ninamuda mrefu sijafanya mapenzi na mwanaume na hii yote nikutokana nakubanwa
pindi ninaporudi likizo nyumbani kwa wazazi
wangu Mwanza..
"..Nyemo pliz uchukuwe mwili wangu.. pliiz
nakuomba uniridhishe.."
Nilimbembeleza mpaka nikamshuhudia Nyemo naye akilegeza macho kisha akanibusu shavuni
kupitia kitovuni mwangu, kisha akazilamba chuchu
zangu nakunifanya nisisimke mwili wote.
Nyemo alikuwa mtundu haswa waj kumlegeza
mwanamke kwani pamoja na u 'play gal' wangu
nijikuta sina ujanja kwa Nyemo. Akiwa ndio kwanza ananinyonya maeneo ya
shingoni mwangu ambapo ni hatari sana kwangu
kwani huwa najihisi nipo dunia nyingine kabisa,
mara tukasikia mlio wa honi ya gari kwa nje, pale
pale Nyemo akashtuka nakuvaa suruali na shati
lake haraka haraka huku akiniongelesha.. "..Bro Jerry huyoo.. Atakuwa mwenyewe tu..! Tena
anakuja na shemeji dah..!! Dah..!!"
"..sasa tutafanya...
Kabla sijamalizia kuongea nilishangaa Nyemo
akinibeba mpaka uani yalipopaki magari yakwao
kisha akafungua nyuma ya gari (boneti) kisha akanitupia mule ndani..
"..Nyemo na nguo zangu je..?"
Aliondoka haraka nakwenda kunichukulia kisha
akazitupia naku 'lock' mule nyuma ndani ya gari
(boneti),
"..nitakuja kukutoa baadaye.." Aliongea Nyemo huku akiniacha nikipumua kwa
shida... Nikasikia kwa mbaali sauti ya kufunguliwa kwa
geti kisha kilichofuata ni sauti ya Nyemo akiongea
na mtu, lakini kwa halmashauri yangu ya kichwa
niliweza kugundua itakuwa ni sauti ya kaka yake
Nyemo.
Baada ya muda mfupi sikuisikia tena ile sauti. Niliweza kuivumilia ile hali ya hewa mule ndani
japokuwa ilikuwa si nyingi sana. Haikuchukuwa
muda nikahisi kama gari inaondoka nikiwa bado
sijielewi elewi mara simu yangu ikaita kutoka
kwenye nguo zangu ambazo nilikuwa sijazivaa.
Nikaanza zoezi la kuitafuta tena kwa kuufuata mlio wa simu, nikaipata,
"..hallow.."
"..yap, Tina? Nyemo hapa anaongea.. Nipo ndani ya
gari hapa naendesha nataka nikurudishe chuo
kwa hiyo anza kuvaa nguo zako huko huko.."
"..unasemaje Nyemoo..? Embu nitoe huku mwenzio kuna giza sana halafu napumua kwa shida sana.."
"..Huko sikutoi na nakurudisha chuoni kwenu, vaa
nguo zako haraka haraka.."
"..kwa taarifa yako Nyemo hapa sivai chochote ni
bora unipeleke kwako tu..."
"..nadhani we utakuwa namatatizo ya akili, mie naishi na wazazi wangu.. sasa kama unajifanya
mbishi ngoja nikuoneshe.."
Hapo hapo Nyemo akanikatia simu..
Niliendelea kuzubaa ndani ya gari huku nikiwa
mbishi wakuvaa nguo zangu na nikiamini kwa
asilimia zote Nyemo atanipeleka tu hata kama ni ghetto ili mradi animalizie hii hamu niliyonayo kwa
muda mrefu sana.
Mara nikahisi gari imesimama, sijakaa sawa Nyemo
akanifungulia mule nyuma ya gari 'boneti'
"...haya nimekwambia vaa nguo zako utoke fasta
mpumbavu mkubwa wee.." "..sitoki.."
"..unasemaje we malaya..?"
"..sitoki mpaka unihakikishie kuwa unanipeleka
kwako.."
Nilipotoa tu kauli hiyo Nyemo alioneshwa
kuchukizwa nami, aliubamiza ule mlango nilioakuwamo kisha nikashangaa gari kutoka kwa
spidi kali.
Safari iliendelea, joto kali lililokuwa limeanza
kuniandama nilijkuta napiga ngumi ule mlango
kwa nguvu zote huku lengo langu kubwa likiwa
nikumfanya Nyemo atelekeze kile nilichokuwa Nakitaka. *** Mwendo wa taratibu niliouanza kuusikia, nilihisi
kama haitakuwa ni foleni basi itakuwa tunaingia
huko anaponipeleka Nyemo.
Kelele za watu zilioichochea zaidi hisia zangu, mara
gari ikasimama tena ule mlango wa nyuma
niliokuwamo ukafunguliwa giza lilikvwa limeshaanza kuzama na sikuelewa kabisa eneo
niliopo,
"...huyu hapa mtoeni, malaya mkubwa sana.."
"..niacheni, niachieeeni..."
Walikuwa ni vijana wa mtaani 'wahuni' ambapo
Nyemo alikuwa amewatumia wanitoe mule ndani ya gari,
Walinivuta kwa nguvu zote mpaka wakafanikiwa
kunitoa huku wakinitupia nguo zangu..
Watu walianza kujaa lile eneo lakini Tina mimi
sikuwa hata na mshipa wa aibu nikazivaa nguo
zangu kisha nikachukuwa kibegi changu, "...Nyemo..? Nyemo
Mie ndio Tina, ahsante kwa kunidhalilisha.."
Nilimtamkia hayo maneno Nyemo, aliniangalia
kisha akaingia ndani ya gari lake nakuondoka na
Wake vijana walionishusha kinguvu.. nikaondoka
zangu nakufanya ule umati wa watu uliokuwa pale uendelee kunishangaa.
Njia nzima nilikuwa sijiamini amini kwa kitendo
alichonifanyia Nyemo huku nikigeuka nyuma mara
mbili mbili,
"..samahani kaka hapa ni wapi..?"
Ilinibidi niulize baada ya kunyosha njia kama nisiyoifahamu..
"..hapa ni mabibo Loyola, kwani we unaelekea
waipi..?"
"..daladala za kuelekea posta zipo wapi..?"
"..nenda na hii njia moja kwa moja na ukifika
mwisho mwa lile geti la shule ya Loyola, utazikuta daladala pale.."
Niliendelea na safari yangu mpaka nikazikuta
daladala za kuelekea posta nikapanda.
Ndani ya dakika kama arobaini nilikuwa tayari nipo
chuoni 'Cbe' nilijitahidi kuweka tabasamu ili
kuaficha wenzangu lakini kabla sijaingia geti la 'cbe' simu yangu niliokuwa nimeweka kwenye
begi ikaingia meseji kwa haraka haraka
nikaichukua
Nakuanza kuisoma..
'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI KWENU
KUKUCHUKUWA TWENDE KWANGU..." Nikaangalia mara mbili mbili kujua imetokea wapi,
nikaja kugundua kuwa jina limeandikwa Jerry.. Itaendelea tena kesho...
Duh hatari
 
Sasa Stunter wakati mwingine uwe na kumbu kumbu
Tina ametolewa kule ufukweni na Vonso ule usiku akiwa uchi coz nguo zake zote alivuliwa na pia waliondoka nazo!

Vonso amemuijia na tax wameenda mwananyamala kwa Vonso coz mkewe na watoto hawapo hivyo huwa yupo peke yake

Vonso anampatia kanga mbili
Hivyo hakuwa na nguo nyingine zaidi ya hizo kanga mbili

Sasa hiyo blauzi na bra zilitokea wapi tena?

Hahahaah uwe makini
wengine huwa tunasoma nukta kwa nukta, neno kwa neno!
 
Ilipoishia jana…
Aisha aliongea kwenye simu kwa sauti ya ukali na
yakikatili kisha ndani ya dakika chache mlango wa
gari kwa upande wangu ukafunguliwa. Tochi
zilinimulika kisha nikashikwa na watu
nisiowafahamu halafu kwenye gari nikamshuhudia
Jerry kiingia kisha akambeba yule mtoto na kuondoka zao na Aisha huku wakiniacha
nimekumbatiwa na watu nisiowafahamu.
“..mnampeleka wapi mwanangu..??,
mrudisheni..??”
Nilitoa makelele ya nguvu lakini haikusaidia
chochote zaidi ya ile gari kutokomea huku wale wavulana waliokuwa wamenishika kwa
kunikumbatia wakianza kunivua nguo zangu na
zao tayari kwa kunibaka kwa zamu…
'
Sasa endelea..
Walinigombania huku kila mmoja akinivuta huku
na kule. Nilijitahidi japo kutoa sauti za makelele
lakini haikusaidia kitu zaidi ya wale vijana kunipiga
vibao na kisha kuniburuta mpaka eneo la
kichakani kwenye giza totoro. Mwili wangu wote
ukawa hauna thamani tena. Hawakuwa watu wazuri hata kidogo kwani walinifanya kwa nguvu
na baada ya hapo wakachukuwa majiti
nakunisokomeza ambapo walinisababishia
maumivu makubwa na makali sana mwilini
mwangu na haswa upande wa matiti yangu kwani
walikuwa wakiyavuta na kuyafinya kwa kucha zao ndefu na hata wengine kuyauma kwa kutumia
meno. Ndani ya kama nusu saa walikuwa
wameshaniharibu sana na pia walikuwa
wameshatawanyika kila mmoja. Uwezo wa
kusimama sikuwa nao zaidi ya kujiburuta chini
chini huku nikitafuta japo barabara kuu ya kuweza kutokea. Tumbo nalo lilianza kuniuma sana tena
kule kuuma kwa kuvuta maeneo ya chini ya
kitovu.
“..nimekukosea nini eeh Mungu wangu..? Niangalie
ninavyoteseka..? Weka japo mikono yako
uniangaze na kunipa nguvu eeh Baba..?” Nilianza kumlaumu mwenyezi Mungu aliyeniumba
nakujiona nimetengwa kabisa katika ulimwengu
huu uliojaa mateso. Mikono yangu miwili ndio
ilikuwa kama miguu kwa kujisukumia taratibu.
Hatimaye baada ya mwendo kidogo nikaona gari
kwa mbali linapita. Nilijaribu japo kutoa sauti ya ukali kwa makelele lakini ilishindikana kwani
sikuwa na sauti kubwa tena na hata hivyo lile gari
lilikuwa katika mwendo kasi hivyo halikuweza
hata kuniona wala kusimama. Akili yangu sasa
ikawa inamfikiria mwanangu Adrian niliyeporwa
na rafiki yangu kipenzi Aisha akishirikiana na Jerry. “..na lazima niwatafute na kuwaua kabisa..?”
Hasira yangu kwa sasa ikawa imefika kikomo
kwani nilijihisi kutokwa na mishipa pembezoni
mwa paji la uso wangu. Nilijikuta nimepata nguvu
za ajabu tena zile za ghafla. Niliweza kuinuka na
kwa sasa nikawa natembea haraka haraka mithili ya wanajeshi wakiwa katika mazoezi yao ya
kwenda vitani. Haikunichukuwa mwendo sana
mara kwa mbele yangu kidogo nikakutana na
dalaldala pamoja na teksi teksi zikiwa zimepaki
huku eneo lile kukiwa na watu wakifanya shughuli
zao mbali mbali. Hapo hapo halmashauri yangu ya kichwa ikafanya kazi haraka nakutambua kuwa
pale patakuwa ni kituo cha daladala na pia ni
maeneo ya makazi ya watu. Mwili wangu sasa
ukaondoka na hofu ya kuwa bado porini. Furaha
yote nikaihamishia ndani ya lile eneo huku
nikilisogelea kwa tabasamu ya hapa na pale. Nilipofika tu pale kwenye mwanga kila mmoja
akaanza kunishangaa. Nilijiangalia mwili wote
kisha.
“..Mamaaaaa..!!!!!, Mamaaaaaa…!!!”
Maskini Tina mimi kumbe nilikuwa sijavaa hata
nguo. Nilikuwa uchi wa mnyama na mwili wangu kwa sasa ulikuwa umegandia damu damu ambazo
zilikuwepo maeneo yote ya kuzunguka mapajani,
tumboni mpaka kwenye maziwa yangu. Aibu
kubwa niliipata lakini sikuwa na jinsi zaidi ya akili
yangu kunituma nirudi kule machakani
nilipobakwa nikazichukuwe nguo zangu. Kwa mwendo wa haraka niligeuka nyuma nakuanza
kuondoka zangu. Hatua mbili tatu mara uso kwa
uso nikakutana na gari.
“..Mamaa nakufaaa..!!”
Mwili wangu wote ulikuwa uvunguni mwa gari
lilikokuwa linapita njia na kwasasa lilikaribia kunigonga. Ni breki tu ndizo zilisaidia. Yule
aliyekuwa akiendesha gari alishuka huku
anaongea maneno kwa ukali. Kadri
alivyonisogelea na ile sauti ilivyokuwa ikitikisa
ngome ya masikio yangu ndivyo nilivyokuwa
nikisisimka nakupata na wasiwasi kama namfahamu. Aliponifikia karibu tu.
“..haa Aisha niwewe…? Kwanini unanifanyia hivi
jamani..??, umenitumia vijana wanibake sawa…?
Ukaona haitoshi ukanipora na mwanagu Adrian
ukampa Jerry kisa pesa Aisha….??. Haya sasa si
unataka unigonge..??, nigonge kabisa ili ndoto zako ziwe zimetimia si ndio..?”
Niliongea kwa jazba sana baada yakugundua
kuwa kumbe aliyetaka kunigonga alikuwa ni rafiki
yangu kipenzi Aisha na kwa muda huu alishuka
nakuniongelesha kwa hasira zake. Nikiwa bado
nipo uvunguni mwa gari huku Aisha akiniongelesha mara nikasikia sauti ya mtoto
wangu akilia ndani ya gari.
“..Aisha mwanagu Adrian yuko wapi nasikia
analia..??, nasikia analia.., yuko wapi..?”
Hasira kali nilizoinuka nazo pale chini zilinifanya
nimsukume Aisha nakuongoza moja kwa moja mpaka kwenye mlango wa gari lake bila kugeuka
nyuma. Nilifungua mlango ule kwa hasira zote
nakumshuhudia mwanangu Adrian akiwa
anatapika ovyo huku kafungwa fungwa ovyo na
makamba shingoni mwake. Nilianza kumfungua
haraka haraka lakini kitendo cha kumalizia kumfungua tu zile kamba nikahisi kimya kwa
mwanagu Adrian. Nikamtingisha bado kimya.
Nikamgusa na kuegemeza kichwa changu kifuani
mwake japo nisikie mapigo yake ya moyo napo
kimya. Akili yangu moja kwa moja ikanituma kuwa
mwanangu Adrian sinaye tena yaani ameshafariki.. “Adrriiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaaaaaaaannnnnnn….???
????, Adriiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaan…..??”
Bado nilimuinua nakumtingisha tingisha lakini ndio
kama nilikuwa najifurahisha na mdori kwani
alishafariki muda mrefu.
“..Aisha..?? Aisha…??, Aishaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaa..??”
Nilishtuka kutoka usingizini huku jasho likinitiririka
mithili ya maji ya chemu chemu yakifuata mkondo
wake huku kwikwi kali sana ya hasira na maji kwa
ujumla vikinishika vilivyo. Kizunguzungu cha
ghafla kilichonishika nilijihisi naona kama ukungu mbeleni mwangu kwani macho yangu yalikuwa
yameishiwa nguvu ya kuona vizuri. Nilishusha
pumzi nakupikicha macho yangu huku nisiamini
kama vile vyote vilivyonitokea kuwa ilikuwa ni
ndoto. Eti mpaka rafiki yangu Aisha akanigeuka
nakumchukua mwanangu Adrian. Haraka haraka nikageuka pembeni yangu nakumwangalia
mwanagu Adrian ambaye alikuwa bado amelala.
Nilimuinua nakumbusu kwenye paji lake la uso.
“..inaonekana unampenda sana mwanao
Adrian…?”
Aliniongelesha rafiki yangu Aisha ambaye kwa muda huu tulikuwa bado tupo njiani kuelekea
nyumbani kwake na alikuwa akiendesha gari.
Nilijilaumu sana kuota ndoto ya ajabu kiasi kile
lakini haina jinsi kwani ndoto haipangwi.
Nilimgeukia rafiki yangu Aisha mara mbili mbili
huku nikioneshwa kutetemeka kwa uwoga nakudhani huenda nilichokuwa nakiota
kikanitokea muda wowote.
“..ahh..!! itakuwa mandoto tu..!!, kwanza hawezi
kunifanyia hivyo rafiki yangu kipenzi Aisha….”
Nilijikuta najifariji kwa kuongea kimoyo moyo
huku nikiachia tabasamu kwa kumwangalia Aisha. “..daah..!!, kumbe hujaacha kulala lala enhh..??”
“..ennhh..!! shosti wangu kwa jinsi ninavyopenda
kulala Tina mimi..? Yani ni kama ugonjwa kwangu
toka kipindi kile tupo wote chuoni.., si
unakumbuka hata darasani nilikuwa siingii ama
nachelewa kisa usingizi..?” “.. ni kweli.., ila umelala sana, yani tokea tunatokea
pale chuoni CBE umelala tu na mwanako wote.
Tumepita kwenye mafoleni pale Morocco,
Kijitonyama hadi Mwenge kote bado umelala tu
Tina..?”
“ndio hivyo..!!, wanasema usingizi mwanaharamu ukikushika. Lakini bado tu hatujafika aisha..?”
“ujue ni vijifoleni tu vya hapa na pale ndivyo
vinafanya hivi, lakini isingekuwa hivi..? tungekuwa
nyumbani muda mrefu sana.. lakini hatuna muda
mrefu tunafika..”
Niliendelea kupiga stori mbili tatu na rafiki yangu kipenzi Aisha japo bado kale ka uwoga ka ndoto
kalikuwa kakinitawala ndani ya halmashauri
yangu ya ubongo. Ndani ya dakika kama kumi hivi
tulikuwa tunatazamana na geti kubwa jekundu
lililopambwa na nakshi nakshi za silva. Aisha
alipiga honi kama mara mbili na punde akatoka kijana aliyekuwa amevaa kofia kuashiria kuwa
huenda alikuwa ni mlinzi wa Aisha. Alitufungulia
nakuingia mpaka ndani.
“..Tina karibu na jisikie uko nyumbani. Hapa ndipo
ninapoishi na mume wangu niliyekwambia kuwa
kwa sasa ni mfanyabiashara na wala si mtu wa kukaaa sana hapa bongo kwani huwa anakuja na
kuondoka siku hiyo hiyo au anakaa hata siku moja
mbili anaondoka zake. Karibu ndani kipenzi
changu..”
Aisha alinikaribisha kwa ukarimu sana. Tuliingia
mpaka ndani na akanikabidhi chumba kimoja. “..hiki kitakuwa chumba chako kuanzia sasa Tina.
Jisikie uko nyumbani na jisikie upo kwako rafiki
yangu kipenzi Tina..”
“..haa..!!, sijui hata nikushukuru vipi mpenzi..!!
Ahsante sana na ubarikiwe uendelee kuwa na
moyo huo huo Aisha..” Chumba kilikuwa nikikubwa sana ambapo ndani
yake kulikuwa na kila kitu. Kuanzia choo na bafu.
Kitanda kikubwa. Nilimvua mwanangu Adrian
nguo zake nakumpeleka bafuni ambapo
nilimuogesha nakisha nikambadilisha pampasi,
baada ya hapo nikaoga na nilipotoka kuoga tu Aisha tayari alikuwa chumbani kwangu kitandani
na Adrian ananisubiri nitoke kuoga.
“..Tina nimekuletea nguo hizi hapa, mie huwa
zinanibana sana si unajua kunenepa kwangu ovyo
tena..!!”
“..Ooh..!!, ahsante Aisha..” “..ila kuna kitu nahitaji ujue…
Mwili wote ukanisisimka kwa haraka na ghafla
kuanzia kichwani mpaka miguuni. Kutokana na
kule kutetemeka nilijikuta kuishiwa nguvu mwilini
nakuhisi kama kojo linaanza kunidondoka mtu
mzima huku akilini nikiwa na shauku kubwa ya kujua ni kitu gani hicho anachotaka kuniambia
Aisha.
“…Eennhee shosti..!! kitu gani tena hicho mbona
waniacha roho juu na njia panda mwenzako....??”
“..njoo kwanza mpaka hapa kitandani.., halafu
ukiwa katika kujifuta vizuri na kubadilisha nguo mimi nitakuwa nikikusimulia, sawa shosti wangu
Tina..?”
“..ni sawa tu hamna neno, au mtoko nini jamani..?”
“..mbona una haraka kiasi hicho jamani hata
sijakwambia ni kitu gani..?, siyo mtoko wala
nini..??” “..Sasa ni kitu gani hicho cha kunitia roho juu
mwenzangu, wangwi wangwi hadi umeninyima
raha na kunipa karaha kwa muda..?”
Muda wote Aisha ailionekana kama mtu wa
masihara masihara kwani ni kweli alionesha kuna
kitu anataka kuniambia, lakini hakuwa siriazi kwani alikuwa akicheka cheka huku akinipa
mkono kwa kugonga.
“..hivi yule mchumba wako wa zamani ‘Jerry’
ushawahi kumuona..?”
Mapigo yangu ya moyo yalibadilisha uelekeo pale
aliponitajia jina la ‘jerry’. Sikutaka kabisa kumsikikia Jerry masikioni mwangu Tina mimi na hata sura
yake kwani yeye ndio chanzo cha mimi kuishi
maisha haya ya shida nakutangatanga mpaka hivi
sasa.
“..kiukweli shosti wangu Aisha. Huyo ‘Jerry’ ndio
kwanza nakusikia unamtaja wewe leo hii, kwani toka enzi hizo sikumtia machoni na si unakumbuka
alichonifanyiaga kipindi cha nyuma mpaka
tukamfanyizia nakumkata kata nanihii yake kwa
kutumia viwembe si unakumbuka..?”
“”..hehe heee..!!, halooo!!! Nakumbuka shosti..!!,
lakini nadhani yale yalishapita siku nyingi sana, ila kuna jipya nataka nikujuze shosti wangu Tina
ambalo hulijui..?”
Sasa nikatuliza pumzi zangu huku nikimtolea
macho Aisha aniambie ni kitu gani hicho..
“..haya niambie shosti kwani amekuwaje huyo
Jerry..?” “ni stori ndefu sana Tina lakini maadam upo
nitakusimulia kila kitu na utajua nakuelewa tu
huyo Jerry. Kwanza kabisa unajua kipindi kile
tumemfanyizia kwanza hakututambua kama ni sisi
ndio tulimfanyia ule unyama wa kumkatakata nanii
yake kwa viwembe hadi kumpelekea kuharibika njia ya kutolea mbegu za uzazi. Tina..?”
“nakusikia endelea tu..?”
“..najua hutaweza kuamini lakini inakubidi tu
uanzae kuamini kwani Jerry kwa sasa amekuwa ni
mtu wa karibu sana na mimi..?”
“..bado sijakuelewa elewa Aisha , unamaanisha nini haswa..?”
“..nimekuwa msaada mkubwa sana kwa Jerry
katika maisha yake.. Kuna siku moja nilikuwa
naelekea kufanya ‘shopping’ zangu pale Mlimani
city na kwa bahati nikakutana nae uso kwa uso.
Kwa kuwa nilikuwa katika kipindi kigumu sana cha chuo si unajua tena bumu likiisha
tunavyotaabika sisi..?”
“..ni kweli..?”
“..basi nikajikomba Aisha mimi kwa Jerry
nakujifanya namjua kuliko. Kwa kuwa siku hiyo
alikuwa peke yake ikawa ni rahisi sana kumshawishi. Jerry alionesha yuko tofauti sana
kwani alikuwa ni mtu mwenye msimamo haswaa.
Lakini akaniambia yuko tayari kunigharamia kiasi
chochote cha pesa endapo tu nitamtekelezea
mambo mawili makubwa kwake..?”
“..hee makubwa..!!, mambo gani tena..??” Akili yangu sasa ikawa kama imenivurugika huku
nikibaki njia panda na nisielewe ni kitu gani hicho
ambacho aisha ameambiwa na Jerry. Mawazo
yangu yote yakanirudisha mpaka siku niliyoota
kuwa nachukuliwa mwanangu na Aisha
wakisaidiana na Jerry na kisha nikabakwa na vijana nisioweza kuwatambua..
“..inawezekana ile ndoto ikawa kweli na leo hii
ikanitokea ‘live’..?”
Nilijisemea kimoyo moyo huku sura ikinibadilika
nakumuangalia mwanangu Adrian pembeni. Hasira
kali iliyoamsha misuli pembezoni mwa uso wangu huku ikihamasisha dukuduku kali moyoni. Japo
alikuwa hajamalizia kuongea lakini akili yangu
ikawa imeshabadilika kwa kiasi kikubwa nakuona
huenda nitatekwa tu. kuwa hapa hapanifai hata
kidogo tena.
“..ennhee Aisha ikawaje sasa ni mambo gani hayo mawili aliokuwa amekuomba huyo Jerry”..
“..aliniweka wazi kuwa yeye hana uwezo wa
kumpa mwanamke mimba, amesumbuka sana
kwa madaktari na mpaka kwa waganga wa
kienyeji lakini imeshindikana. Hivyo akaamua aoe
na kuishi na mwanamke ambaye yuko sawa nayeye ambaye hana uwezo wa kuzaa ‘mgumba’.
Basi akaoa lakini mtafaruku umekuja kwa wazazi
wa pande zote mbili wanataka wajukuu..
kilichofanyika Jerry akaniomba kwanza nimtunzie
siri na aibu hii kubwa ambayo amehangaika nayo
kwa muda mrefu sana bila ya kuwa na mtoto. Pili akaniomba apandikize mbegu zake kwangu
kutokea hospitalini ili nishike mimba nakumzalia.
“..hee.., halafu..?”
“..kama nitashika mimba atakuwa bega kwa bega
na mimi mpaka nitakapojifungua. Atahakikisha
amenijengea jumba kubwa nakuniwekewa kila kitu ndani nitakachokihitaji. Pia mkewe
atamsafirisha nje ya nchi kwa siri siri bila ya ndugu
kujua chochote na atakaporudi atakuta
nimeshajifungua hivyo atamchukuwa mtoto
nakumlea. Tulijaribu mbegu zake karibu mara tano
lakini ikashindikana mimi kushika mimba kwa kutumia mbegu za Jerry. Kwa kuwa tayari
nilishaingia tamaa ya hela na makazi kama
alivyoniahidi Jerry. Nikapanga dili na dokta kisha
nikasafiri mpaka Morogoro kwa mpenzi wangu
Almeida akanipa ujauzito hivyo nikamsakizia Jerry
kuwa tumeshafanikiwa kushika mimba. Jerry alifurahi sana kwa kuwa nilikuwa katika kipindi
kigumu. Ilinibidi nisimamishe kwanza mambo
yangu ya chuo kwa muda wa miezi tisa huku na
ujauzito. Nikatafutiwa mfanyakazi wa ndani
ambapo hata hivyo haikuwa ikipita siku bila Jerry
kunipigia simu au kuniletea vitu mbalimbali vya kuniliwaza..”
“..kwa hiyo sasa huyo mtoto ukajifungua au
ikawaje sasa..?”
“tina..? yani mtoto nilijifungua salama bonge la toto
mzuri kama huyo wa kwako. Hii nyumba na gari
unavyoviona ameninunulia Jerry. Na mkewe ni rafiki yangu wa karibu sana na haipiti siku bila
kunitembelea ama kunipigia simu na hivi
nimeshamaliza chuo kabisa utamuona hapa kila
siku..”
Mapigo yangu ya moyo yakaishiwa nguvu na kwa
sasa yakawa kama yamepigwa ganzi ama kumwagiwa maji tena yale ya barafu ambayo
hutoa kama moshi. Kichwa kilianza kunigonga
huku nisielewe nianzie wapi. Sikuwa na hamu tena
ya kukaa hapa japo ndio kwanza ilikuwa siku ya
kwanza. Tukiwa bado kwenye maongezi na Aisha
mara tukasikia sauti ya gari ikipiga honi huko nje. Hatujakaa sawa mara tena Simu ya Aisha ikaita,
akapokea..
“..yeahh honey mambooo..!!! Ni wewe karibu
namimi ndio kwanza nimemaliza chuo leo vipi upo
peke yako ama..?”
“..sikuweza kutambua vizuri kuwa Aisha anaongea na nani zaidi yakuniaga kwa ishara huku akiniacha
chumbani nakuelekea sebuleni..”
Mawazo mengi bado yaliendelea kunitawala ndani
ya halmashauri ya ubongo wangu. Sikuweza
kujitambua Tina mimi. Nilihisi kama ndoto. Nilivaa
nguo kwa kutetemeka mithili ya mtu mwenye ukoma au yule anayeumwa malaria kali sana.
Midomo yangu ilikuwa ikitetemeka kwa haraka
haraka mithili ya maji yanapochemka katika
sufuria. Nilibaki nimeduwaa peke yangu huku
nikiwa sipati jibu wala ufafanuzi wa hili jambo.
Nilichokifanya niliiinuka taaratibu kisha nikamweka mwanangu Adriani vizuri kitandani
nakuanza kunyatanyata kuelekea sebuleni huku
mwanangu Adrian nikimuacha akiwa amelala
fofofo. Niliendelea kunyata kimya kimya. Sauti za
taratibu na za kimahaba kuashiria sebuleni kuna
mtu na mume wake ndizo zilikuwa zikinivuta zaidi. Nilipokaribia nilifunua pazia la kuingilia sebuleni
kwa utaratibu huku nikifumba jicho langu la
upande wa kulia nakuliachia jicho la upande wa
kushoto likifanya kazi yake ya kuangaza
nakushuhudia tukio zima huku masikio yangu
yakiwa sambamba na hilo tukio. “..Jerry..?? Jerry..? oohh…!! Nooo…!!! Aisha noo..??”
Maskini Tina mie alikuwa ni Jerry katika himaya hii.
Na kwasasa alionesha sura ya ukali huku
akimuhadithia Aisha tukio zima nililomfanyia pale
stendi miezi michache iliyopita. Alikuwa
akimuomba sana Aisha msaada wa kunitafuta popote pale nilipo ili ampate mtoto wake. Jerry
alikuwa akitoa machozi kama mtoto mdogo vile
huku akimbembeleza Aisha wawe kitu kimoja
kuhakikisha huyo mtoto anapatikana. Nikiwa bado
nashuhudia Jerry akimbembeleza Aisha mara Aisha
akainuka pale nakutoka huku akielekea sehemu ambapo nipo..
“..Jerry haiwezekani mwanangu wa damu yangu
kabisa eti amchukue Tina anajua tulivyompata..?,
embu subiri nakuja sasa hivi..?”
Aisha alionekana kuwa na hasira zaidi kwani
aliinuka kwa hasira na kwa shari. Nilichomoka kwa haraka huku nikielekea chumbani kwangu
kumuwahi mwanangu Adrian lakini kabla sijafika
chumbani Aisha akawa tayari ameshaniona kwa
mbali kidogo akaniita kwa sauti ya kupaza na ya
ukali..
“..Tinaaaaaaaaaaaaaaa….??????????????”
************************* ***
Najua bado unatamani sana kujua
kitakachompata Tina, hii sio ndoto ni ukweli
kabisa, je unavyodhani ndio utakuwa mwisho wa

**
Play gal..? nini hatma ya Tina..?
***
kwanini mikosi haimuishi Tina kila kukicha..?
***
utamu ndio kwanza unazidi kunoga, chonde
chonde usikubali kusimuliwa
**
Play gal
ittakayofuata kwani ni nzuri zaidi ya hapa. Jiandae
kwa kumshuhudia tena Tina kilichompata
 
Washkaji zangu eeeh... Tina ndo anaishia zake ivi... Imebaki episode ya mwishooo... Haya twendeni nae
 
Ilipoishia..
“..Jerry haiwezekani mwanangu wa damu yangu
kabisa eti amchukue Tina anajua tulivyompata..?,
embu subiri nakuja sasa hivi..?”
Aisha alionekana kuwa na hasira zaidi kwani
aliinuka kwa hasira na kwa shari. Nilichomoka kwa
haraka huku nikielekea chumbani kwangu kumuwahi mwanangu Adrian lakini kabla sijafika
chumbani Aisha akawa tayari ameshaniona kwa
mbali kidogo akaniita kwa sauti ya kupaza na ya
ukali..
“..Tinaaaaaaaaaaaaaaa….??????????????”
'
Sasa endelea…
Nilionesha woga uliochanganyika na kusita sita
huku nikibaki njia panda nisielewe nimsubiri Aisha
afike karibu au niingie ndani kumchukuwa
mwanangu Adrian.
”..aahh..?? liwalo na liwe bwana..?”
Nilijikuta najijaza moyo wa kijasiri huku nikiingia mpaka chumbani kwa nguvu zote nikimchukuwa
mwanangu Adrian ambaye bado alikuwa kapitiwa
na usingizi mzito. Nilijitahidi kufanya haraka haraka
nikakusanya vitu muhimu ikiwa ni pamoja na
mkoba mkubwa uliokuwa na hela kidogo na nguo
za mwanangu Adrian. Kadri nilivyokuwa naendelea kupaki kwa haraka haraka ndivyo na
sauti ya viatu ilioashiria kuwa Aisha yupo njiani
anakuja ilikuwa ikiendelea kunishtua ndani ya
fikra zangu. Sasa nikawa Tina sugu haswaa tena
yule ambaye hasikii la mkuu. Nilichukuwa khanga
nakumfunga mwanangu Adrian mgongoni kisha ule mkoba nikauweka kwapani na baada ya hapo
nikafanya ishara ya msalaba huku kichwa na
mikono yangu nikikielekezea juu.
“..eeh Mwenyezi Mungu nisaidie nakunilinda..”
Nilijisalia kimoyo moyo nakuanza kutoka huku
nikifuatisha mlango ule ule wakutokea. Ile nakata kona ya kutokea kwenye kikorido uso wangu
moja kwa moja ukakutana na rafiki yangu Aisha.
“..unakwenda wapi na mwanangu unampkeleka
wapi..?”
“..mwanako..? leo hii ndio amekuwa mwanako..?
Aisha kipenzi nashukuru kwa wema wako ulionifanyia ila kumbuka huyo Jerry ni muongo
kakudanganya kwanza sijawahi kuonana naye
toka kipiindi kile tulivyomfanyia mchezo ule..??”
Nilijitahidi kumdanganya Aisha lakini ndio kwanza
kama nilikuwa naamsha mishipa yake ya hasira
kwani alivimba nakutuna mara mbili ya Aisha yule nimjuaye mimi. Hakutaka kabisa kuniamini hata
chembe na alichofanya nikukimbilia moja kwa
moja kunivua khanga ile niliyokuwa nimembebea
mwanangu Adrian.
“..Aisha niache mbona huni..?”
Kabla sijamalizia kuongea chochote nilishangaa Aisha kunitupia kibao katika shavu langu
nakuanza kujihisi kizunguzungu. Sikutaka kabisa
kumlegezea zaidi yakuendelea kuing’ang’ania ile
khanga asiweze kuifungua kwani kama angeweza
kuifungua ingekuwa rahisi kumchukuwa
mwanangu Adrian. “..Jerryyyy???????? Jerryyy njoo nisaidie..?”
Maskini Tina mimi nikawa katika vita kubwa
yakuteteta mwanangu Adrian asiweze kuwa
mikononi mwa Jerry na huyu Aisha kwani
nilishajiwekea dhamira ya kutomwachia na kama
nitafanya hivyo maisha yangu yatakuwa mabaya zaidi kwani sina tena kizazi wala uwezo wakuweza
kuzaa Tina mimi. Makelele aliokuwa ameyatoa
Aisha yakumuita Jerry tayari yalikuwa
yameshapenyeza katika ngome ya masikio ya Jerry
na kwa muda huu nilianza kuhisi sauti za viatu tena
ikitembea kwa mwendo wa haraka haraka. Nilichokifanya niliinua mkono wangu
nakuudumbukiza moja kwa moja mpaka kwenye
mkoba nakuchomoa chupa ya maziwa ya mtoto
ambayo ilikuwa bado na maziwa yamoto nakisha
kumwagia Aisha usoni. Aisha aliinama chini
nakuanza kutapatapa huku mikono yake yote miwili akijiziba usoni na kufikicha kwa yale
maumivu niliyokuwa nimempatia. Aisha akiwa
bado anagala gala pale chini, nikarudishia lile
dumu la maziwa nakisha nikaongoza kuelekea
sebuleni. Ilinichukuwa hatua tatu tu uso kwa uso
na Jerry mwenyewe na tena safari hii aliweza kuchukuwa mikono yake nakuziba njia ili
mnisieweze kutoka Tina mimi.
“..kwanza nahakikisha nakuua..? na pili
namchukuwa huyo mtoto wangu pumbavu
mkubwa wewe..?”
“..hapa tutauana na siyo kuniua na kuhusu mtoto sahau laba nife naye hapa sasa hivi..? baradhuri
wewe usiye na hata huruma kwa binadamu.
Umeniharibia shule sawa nimekubali ila kuhusu
kumpata huyu mtoto ilo sahau Jerry..?” Hasira kali ziliendelea kunitawala ndani ya
halmashauri ya ubongo wangu. Kwa safari hii
mwanangu Adrian alikuwa ameshahamka na
tayari alikuwa akilia kwa sauti ya juu. Nilitamani
japo nimshike nakumbembeleza lakini sikuweza
kwani tayari Jerry alikuwa karibu yangu na alikuwa kaniwekea mikono yake shingoni
mwangu. Nilijihisi kutapika kwani Jerry alidhamiria
kuninyonga kutokana na mikono yake kushikana
vilivyo na shingo yangu.
“..nakufa jamani nioookooeenn..?”
Nilijitahidi labda kutoa sauti huenda majirani watanisikia lakini wapi ? haikusaidia chochote zaidi
ya Jerry kukaza zaidi mikono yake huku
nikihishiwa pumzi nakuanza kutapatapa mithili ya
wacheza mieleka wakiangushana. Kitendo cha
mimi kuishiwa nguvu kilimpa faraja na nguvu ya
ajabu Jerry yakuweza kunifungua ile khanga yangu niliokuwa nimembebea mwanangu Adrian
na kisha akamchukuwa mwanangu Adrian.
“..twende mwanangu huyu shetani hafai
angekuua..?”
Jerry alimwambia mwanangu Adrian huku
akimbusu japokuwa alikuwa mdogo sana kwani hakuweza kuelewa chochote zaidi ya kutoa
macho. Jerry alifanikiwa kumchukuwa
mawanangu mikononi mwangu na kwa safari hii
hakutaka hata kumuaga Aisha kwani bado Aisha
alikuwa anatapatapa huku akiendelea kufikicha
macho yake yaliokuwa nimeyamwagia maziwa ya moto ya mtoto.
Nilijiona sijielewi elewi kwani kila nikitaka kuinuka
bado nguvu ziliniishia kabisa na pia shingoni
kwangu kulikuwa kunauma sana. Taryari nilianza
kuvuta taswira siku niliomchukuwa Adrian pale
Ubungo nakutokomea zangu nakufananisha lile tukio kama tukio hili alilonifanyia Jerry leo hii.
Mawazo mengi yalikuwa yanaendelea kutawala
akili yangu huku nikiwa kama mtu aliyepigwa na
bumbuwazi kwani nilijihisi mwanangu Adrian yupo
tu kuwa hii ni ndoto lakini jibu lilibaki pale pale kila
nilipomwangalia Aisha akiendelea kutapatapa. “..dada twende nimeshamaliza kazi..?”
Nilikuwa kama sijiamini amini kwani ndani ya muda
mfupi nilimshuhudia mfanyakazi wa ndani wa
Aisha akiwa kambebelea mwanagu Adrian huku
kamzungushia khanga zile zile alizonipora nazo
Jerry pamoja na mtoto. “..unasemaje..? na Jerry yuko wapi..?”
Bado nilikuwa sijiamini amini kama mwanangu
Adrian amerudi mikononi mwangu tena. Nilitoka
haraka mpaka eneo alipokuwa amesimama yule
mfanyakazi. Nilipata furaha ya ajabu kwani
kiukweli sikuweza kuamini kama kweli mwanangu Adrian amenusurika kuwa mikononi mwa Jerry.
“..embu niambie umemfanyaje Jerry mpaka
umempata huyu mtoto..?”
“..wewe mwenyewe si unamuona huyo Jerry hapo
chini alivyo..?”
Niligeuka tena kwa mara ya pili nakumuangalia Jerry vizuri lakini bado alionekana akitapatapata
huku pembeni kukiwa na sufuria kubwa.
“yaan bado sijaelewa chochote..?”
“..ujue nini dada..?”
“eeh niambie..?”
“..wakati mnagombana kuhusu mtoto hapo kwenye korido nilikuwa nikiwasikia tu kwa muda
mrefu huku nikiendelea kumtayarishia dada Aisha
maji ya kuoga. Kadri mlivyokuwa mnaendelea
kugombana na maji ndivyo yalikuwa yanazidi
kuchemka. Nilipomaliza ile natoka tu nije
kumwambia kuwa maji tayari nashangaa nakuona wewe ukiwa chini unatapatapa vivyo hivyo na kwa
dada Aisha. Kwa hiyo nilichoamua nikuchukuwa
sufuria hivyo hivyo likiwa na maji ya moto
nakumwagia jerry ambaye alikuwa kamchukuwa
mtoto na kumwagia mgongoni mwake kisha
nikamuhai kumchukuwa mtoto. Na nilipoimchukuwa mtoto nilimmalizia kumwagia
Jerry yale maji ya moto sana mpaka eneo lote la
usoni mwake kwani niliona yeye ndiye chanzo cha
matatizo ya kumgombea huyu mtoto hapa..”
“..ohh ahsante sana kwa kunisaidia nakumsaidia
huyu mtoto..?” “..usijari Anti.. ila hapa mie kama nitakamatwa
nitafungwa tu..?? hivyo nakuomba tutoroke wote
samahani Anti twende kabla majirani wala mlinzi
hajatokea hapa..??”
Kwakuwa huyu Dada alikuwa ameshanisaidia
kumpata mwanangu Adrian na pia alinisaidia kmteketeza Jerry hivyo haikuwa na budi
kumchukuwa. Nilimpa mwanangu Adrian na kisha
nikamfuata Jerry pale chini nakuanza kumsachi
mifukoni mwake ili nitafute funguo za gari lake
niweze kutoroka. Nillifanikiwa kuzipata ndani ya
muda mfupi. “..chumbani kwa Aisha wapi..?”
Nilimuuliza yule mfanyakazi akanionesha.
“..nipe huyo mtoto na nakupa dakika mbili tu
uingie usachi anapoweka hela zake kisha kwa
haraka urudi tutoroke kabla mambo hayajawa
makubwa hapa.” Yule mfanyakazi alifanya kama nilivyomuelekeza
na ndani ya muda mchache tayari alikuwa amerudi
kashikilia bahasha ndogo ilioonesha ndani yake
patakuwa na kile nilichomuagiza.
“..haya twende haraka haraka na tukifika hapo nje
usioneshe kuwa na haraka haraka mlinzi atatugundua sawa..?”
“..sawa nimekuelewa Anti..?”
Nilimchukuwa mwanangu Adrian na kisha
nikatoka na yule mfanyakazi huku nikimsihi mlinzi
afungue geti nimuwaishe mwanangu hospitali
anaumwa ghafla. Aliniuliza kuhusu Jerry na Aisha wako wapi hivyo nikamjibu kuwa wako chumbani
kwao wametuachia ufunguo wa gari hivyo
tunaenda hospitali hapo jirani nakurudi na huyu
mfanyakazi wameniambia niende naye anisaidie.
Ndani ya dakika chache tayari tulikuwa nje ya geti
huku nikiendesha gari la Jerry. Pembeni yangu alikuwa yule mfanyakazi huku mwanangu Adrian
akiwa anatoa tu macho pembeni yetu. Giza lilikuwa
limeanza kuwa tororo kwani saa ya kwenye gari
ilionesha tayari imeshatimu saa sita kasoro. Hata
magari tuliopishana nayo hayakuwa mengi sana
kwa usiku huu. Tulikuwa hatujielewi tunaelekea wapi lakini wazo likanijia la kuwa tuna pesa
tulizozichukuwa chumbani kwa Aisha.
“..ile bahasha uliochukuwa si unayo hapo..?”
Nilimuuliza yule mfanyakazi niliokuwa nimetoroka
naye.
“..ninayo tena wala haiko mbali hapa..?” “..ni kiasi gani cha pesa ulichochukuwa..?”
“..sijui ila ngoja niangalie vizuri..”
Yule mfanyakazi aliichukuwa ile bahasha ambayo
ilikuwa imetuna vilivyo kuashilia kuwa
amechukuwa hela nyingi sana. Kadri alivyokuwa
anaingiza mkono kwenye ile bahasha ndivyo nayeye alikuwa akibadilika sura nakutetemeka
nakuwa kama mtu mwenye hasira sana. Ilinibidi
kulipaki gari pembeni nakumuuliza.
“..vipi embu toa ni shilingi ngapi zipo hapo..?”
Maskini tina mimi nilikuwa nimeshaingia tena
matatizoni kwani alivyochomoa ile bahasha haikuwa na pesa yeyote zaidi yakutoa bastola na
kisha kunielekezea kwenye paji langu la uso.
“..samahani najua huna hatia ila inanibidi kufanya
hivi..?”
“..jamani kwani imekuwaje..?? nimekufanyaje wee
binti..?” “..Anti..? wala hujanifanya chiochote ila
ninachotaka kusema namtaka mwanangu na
wewe shuka chini sasa hivi kabla sijakufyatua..?”
“mwanako..? yupi..? huyu hapa Adrian…?”
“..ndio ni mwanangu kabisa wa damu na mimi ndio
niliokuwa nimemzaa. Siri kubwa ilioko ni ya mimi na dada Aisha kuhusu huyu mtoto. Dada Aisha
pale unapomuona hawezi kupata ujauzito kwani
ameharibika kizazi kwa kutoa sana mimba ovyo
kipindi cha nyuma. Na Jerry alikuwa akihitaji mtoto
kwa udi na uvumba lakini kwa Aisha ikawa
haiwezekani na ndipo wakaamua kunishirikisha mimi nilale na mlinzi wa pale ili nishike mimba
niwazailie mtoto ambaye ndiye huyu uliokuwa
umempora kutoka kwao.
Inaniuma sana huyu mtoto kumuona akihangaika
kwani nilijifungua kwa operesheni na hapa
unaponiona bado nyuzi hazijakaza vizuri katika maumbile yangu ya sehemu za siri. Sasa sina jinsi
zaidi ya kumrudisha mwanangu mikononi
mwanangu na wewe sihitaji kukuua ila shuka
mwenyewe niache na mwanangu nitajua
nitakapoelekea..?”
******************
 
Washkaji zangu eeeh... Tina ndo anaishia zake ivi... Imebaki episode ya mwishooo... Haya twendeni nae
Ila episode zako ni ndefu balaa......
Haya baada ya tina sijui unatuletea nani tsna....
 
Jamaniiiiiii endelea basi mwenzio nimekaa na simu nimetega tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom