Platinumz kapiga sketi au sioni?

Platinumz kapiga sketi au sioni?

Wivu tu....mbona hamuongelei gari gani hii
Ona hili nalo. Watu wanazungumzia nguo yeye kahamia kwenye ngari after ol huo sio wivu jamaa hapo kachemsha mbaya. Narudia tena mungu atusaidie watoto na wadogo zetu wasiige huu upuuzi na ujinga
 
dddd.jpg
4.png
ile kwa ndani mbona kama kavaa pich ya kike? hivi kuna watu bado wanavaa hayo makitu ya zamani hadi leo/ mimi nikibaa hiyo boxer tu huw ainatosha naiacha inapumbua isibanwe, ila ile michoro naona kama pichu zilee za kishamba za zamani zinazofanana/tulizokuwa tunavaliana na wanawake?
 
Hiyo kweli ni kama sket hivi. Duh ila huu unaoitwa u modern kazi kweli kweli. Au ndio wanaanza kuwa akina nahiii
 
Wakija watoto wenye timu zao lazima wawashe moto heeee heeee watakuambia ni fashion ambayo hata Kanye West anatupiaga.
 
Mawakala wa shetani kazini, muhimu kuwaombea watoto wetu.
 
Back
Top Bottom