Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Eti mwanaume mzima anavaa tight na sket nje akitongozwa anataka kurusha ngumu, Si wenda wazimu huoo? ?![]()
![]()
dooh hii ni sketi ya kiume? Maana kuna suruali za kike
Eti mwanaume mzima anavaa tight na sket nje akitongozwa anataka kurusha ngumu, Si wenda wazimu huoo? ?![]()
![]()
dooh hii ni sketi ya kiume? Maana kuna suruali za kike
Eti mwanaume mzima anavaa tight na sket nje akitongozwa anataka kurusha ngumu, Si wenda wazimu huoo? ?
kutongoza tenaKwamba ni gari la kike au la kiume?Wivu tu....mbona hamuongelei gari gani hii
kwani hiyo gari yake????Wivu tu....mbona hamuongelei gari gani hii
Hii hatari sanaView attachment 471236labda ni muundo kama huu
Umeeleweka.hizo ni fashion ambazo anazivaaga sana diamond wala sio mara moja kavaa, wakati mwingine anavaaga bukta pana halafu ndani anavaa suruali ya bandage ( bandage ni nguo za kushika mwili ambazo ni moja ya fashion) na koti la suti!!
mara nyingi tu anavaaga ni FASHION. kwa msanii mpenda fashion kuvaa hivo kawaida kabisa.
na hauwezi kuvaa hio sketi bila suruali ya bandage! utachekesha ,ndio maana wanaita fashion