Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Tuwaulize fashion designers labda...Martin kadinda..Mustafa Hassanali and Ally Remtula
Tuwaulize fashion designers labda...Martin kadinda..Mustafa Hassanali and Ally Remtula
Hili sengerema tu hakuna cha fashion wala nn. Mungu atusaidie yasitokee kwa watoto wetuView attachment 471236labda ni muundo kama huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dooh hii ni sketi ya kiume? Maana kuna suruali za kikeView attachment 471236labda ni muundo kama huu
Mavazi mengine ni ya kijinga kabisa si kila mambo yanayofanyika ng'ambo tuige. Hapo ina maanisha nini kwa wanaume wanaovaa hivi? Nahisi ni nusu mwanaume nusu mwanamke
Wivu tu....mbona hamuongelei gari gani hii