Platinumz kapiga sketi au sioni?

Ona hili nalo. Watu wanazungumzia nguo yeye kahamia kwenye ngari after ol huo sio wivu jamaa hapo kachemsha mbaya. Narudia tena mungu atusaidie watoto na wadogo zetu wasiige huu upuuzi na ujinga
Ngari ndo nini dogo
 
dddd.jpg
4.png
Na yeye yumo kwa wale waliosomwa na Makonda?
 
Back
Top Bottom