Pius msekwe live kesho musoma

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,949
5,980
Nipo Musoma Mjini kuna Gari linatembea likipiga Muziki ya TOT na kuwatangazia watu kuwa Kesho Mchana Spika Mstaafu Bw. Msekwa atautubia wakazi wa Musoma na Vitongoji vyake juu ya hali mstakhabali wa siasa Nchini
Matangazo yanasema akuna chama Wananchi wote wanakaribishwa.
 
Hapo ndio mwenge wa cdm umewashwa tu, wajiandae!!!
 
Nilimsikiliza ktk Tamasha moja hivi la Katiba ITV alionekana anaongea kama anakigugumizi ni kweli anakiguguzi au alikuwa anaogopa maana alishambuliwa sana.
 
Tangu amaliye u-spika wa 7, ndio namsikia ktk public rally anataka kuwahubiria watu mustakabali wa nchi?
awaambie CCM waache wizi, waheshimu maamuzi ya umma na waondoke madarakani waiache demokrasia ichukue mkondo wake.

kwanza Msekwa alishindwa kujibu, au alikuwa anazuga kujibu kijumla-jumla masuali muhimu sana alokuwa anaulizwa ktk ule mdahalo wa ITV!
Au ndio amepanga kwenda kusawazisha aloboronga!
CCM hawalali, wanahaha, na yeye kama makamu mkiti, CCM imemtuma na wala sio kofia ya 'spika mstaafu' kama wanavyotaka tuamini.
sasa nchi inaenda kwa 'wenyewe' yaani umma, na ndio 'mstakabali' anaotakiwa auseme kwa taifa. finish!
 
Nipo Musoma Mjini kuna Gari linatembea likipiga Muziki ya TOT na kuwatangazia watu kuwa Kesho Mchana Spika Mstaafu Bw. Msekwa atautubia wakazi wa Musoma na Vitongoji vyake juu ya hali mstakhabali wa siasa Nchini
Matangazo yanasema akuna chama Wananchi wote wanakaribishwa.

Duuuuh haya sasa mambo yameanza soooon tu hawa viongozi wasipo kuwa makini hili Sukosuko la Raia kuzikataa serikali zilizoko madarakani zinanukia nandio kinakaribia sasa huku EAST AFRICA

Usije ukashangaa ya Misri yanaanzia Musoma. Watu wengi wa musoma ni no-non-sence people. Kama ni kweli Msekwa atenda huko basi ni kupiga politiki tu hakuna cha maana atakachoongea. Issue kubwa kwa sasa ni ufisadi, mfumuko wa bei, lack of direction, lack of leadership......na hakuna kiongozi yeyote wa CCM anayeweza kuongelea hayo.
 
Back
Top Bottom