Pitia hapa.

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
kwa wale ambao ni wana jamvi nawasalimu kwanza wakubwa SHIKAMOO na rika langu HABARI YAKO MSOMAJI!.

Ninaomba kwa wale wanaotoa maoni yao au wanaoandika "threads" uzi kwa jina lingine hapa jukwaani naombeni mzingatie katika "UANDISHI" jitahidi mtoa mada au mchangiaji atumie "LUGHA INAYOSOMEKA NA KUELEWEKA" ili waweze kufikisha "UJUMBE" Uliokusudia kwani wapo watu wa "RIKA" tofauti tofauti ambao baadhi yao "WATAWEZA KUSOMA NA WENGINE WATASHINDWA" Hivyo kushindwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

Naomba kusisitiza
"MATUMIZI YA LUGHA YAANI UANDISHI"

Naomba KUWASILISHA.
 
Ila ni kweli mkuu,
maana si wote wanaelewa kile kiandikwacho.
Kwa hlo hapo utakuwa umesaidia na wengine waso na uelewa.
Big Up,
UMESOMEKA MKUU stevoh
 
Last edited by a moderator:
mi naaamini mara nyingi kiswahili na kingereza ndo utumika na watu naona wanachangia tuu ila labda vile vijineno vya vibarazani ndo shida ila unless other wise umeeleka shivoooo oooooops samahan i,mean stevoh
 
morning wangu?

Fineee!!! wangu,
ila usiku wa leo sijalala vizuri si unajua ukishiba sana then ukashushia na maji ya dhahabu lazima ulale chali?
Ndicho kilichonitokea.
Ila niko poa baby:)lol:) wangu,
Missing u!!
Ded:
Try It On My Own-Whitney H.
 
Markhabaaaa!!!
Mtoto mzuri beibe nasty,
hata nami nimekumiss mmwaahhh!!! Mdogo wangu.
Vp lakini umeamka swalama?

Swalama tuu dada madame mi nauzun bana cl antaka ondoka iiiiiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeh nashindwa kuandika jinsi ya kupenga kamasii fyeeefyeee im in tears mim dada
 
Last edited by a moderator:
Swalama tuu dada madame mi nauzun bana cl antaka ondoka iiiiiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeh nashindwa kuandika jinsi ya kupenga kamasii fyeeefyeee im in tears mim dada

Jamani beibe,
me mwenyewe nackia huzuni kwa Shost wangu kutaka kujivua humu Jf,
Ila ni heri huku anapewa udhia na watu asiowaona wala kuwajua zaidi ya Fake name,
je,huko uraiani kwenye real name na anawaona kwa sura halisi si anaweza kuzichapa nao?

Ila dawa ni kuwapotezea mazima.

Basi my young don:crying:,utaniliza na mimi.
 
mi naaamini mara nyingi kiswahili na kingereza ndo utumika na watu naona wanachangia tuu ila labda vile vijineno vya vibarazani ndo shida ila unless other wise umeeleka shivoooo oooooops samahan i,mean stevoh

Haya mama ufupisho uwe na mipaka au usiwepo kabisa niwaachie Mods
 
Back
Top Bottom