Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 5,879
- 10,394
Hayo ni makande yaliyochangamka
Labda HUJUI maana ya kipigo,mbio HUJA tu nafsi ikinusa hatari.Huna mbio hizo uwakute
Kaa Kaa kwenye vijiwe vya kahawa na haswa uwakute wazee na walioenda enda ageNgoj siku niwachokoze
Uku kwetu hakuna vijiweLabda HUJUI maana ya kipigo,mbio HUJA tu nafsi ikinusa hatari.
Kaa Kaa kwenye vijiwe vya kahawa na haswa uwakute wazee na walioenda enda age
Jitahidi ule vizuri wali na tambi ni Wanga tu huyo kuku ndio protein inayojenga mwili jitahidi uwe unakupika kuku nusu sijapenda kabisa hii kipande kimoja kama . MojaHellow mchana mwema
Leo tupike hiki chakula asili yake Madam B atasema
Kwanza chukua tambi zako ulizo kataka ndogo ndogo kisha weka kwenye sufuria ya mafuta yalio chemka kisha anza kuzikaanga mpaka zibadirike rangi na kuwa kahawia zisiungue
View attachment 3287755
Baada ya hapo chukua mchele wako ulio uosha kisha tia kwenye sufuria anza kuukaanga na tambi
View attachment 3287762
Baada ya hapo weka maji yako kama una tui la nazi tumia mimi nazi nakuja kuweka baadae baada ya maji kupungua kidogo
View attachment 3287764Kisha funika na upunguze moto moto weka mdogo kabisa na ukaee kwa muda mrefu
Baada ya hapo mm nikaweka nazi kisha nikageuza nikaacha nikaanza kupika mboga
View attachment 3287767
Mboga kwa mimi natumia kuku rosti na wewe unaweza tumia samaki au nyama mboga yoyote ulio nayo
Nilianza kukaanga kuku kwanza
View attachment 3287770
Kisha nikaweka vitunguu pamoja na hoho na karoti
View attachment 3287771
Kisha nikaweka nyanya nilio saga
View attachment 3287774
Baada ya nyanya kuiva nikaweka nazi
View attachment 3287776
Baada ya hapo nipo nakula karibuni sana wote
View attachment 3287778
Nipo tayari kwa kusimangwa 😂
Ahhaha nimetoa vipande viwili af kuku alichelewa kuyeyuka nilikuwa nimemuweka kwenye jokofuJitahidi ule vizuri wali na tambi ni Wanga tu huyo kuku ndio protein inayojenga mwili jitahidi uwe unakupika kuku nusu sijapenda kabisa hii kipande kimoja kama . Moja
Mpigie Binti Sayuni03 06293723_😁Njoo ule mkuu
Mmh hii combo hapanaAhahah ni chakula kizuri sana
Sawa.Ukuje chap
Silagi kwa watu😁😁😁Mpigie Binti Sayuni03 06293723_😁
Nataka nikupe mchumba anaejua kupika alafu unaleta kamdomo 😊Silagi kwa watu😁😁😁
Akhuuu sitaki mie nina mbaba wangu ananitoshaNataka nikupe mchumba anaejua kupika alafu unaleta kamdomo 😊
Mbegu za wababa zinazeesha tafuta bora huyu kijana...Akhuuu sitaki mie nina mbaba wangu ananitosha
Mimi nataka kuzeeka maana nina kababy faceMbegu za wababa zinazeesha tafuta bora huyu kijana...