Ungejua usivyojua kupika, na upikaji wako ulivyo wa kishamba, usingethubutu kuweka picha hapa. Kwanza karne ya leo hizi sufuria hazitumiwi tena na watu wenye weledi.Hellow mchana mwema
Leo tupike hiki chakula asili yake Madam B atasema
Kwanza chukua tambi zako ulizo kataka ndogo ndogo kisha weka kwenye sufuria ya mafuta yalio chemka kisha anza kuzikaanga mpaka zibadirike rangi na kuwa kahawia zisiungue
View attachment 3287755
Baada ya hapo chukua mchele wako ulio uosha kisha tia kwenye sufuria anza kuukaanga na tambi
View attachment 3287762
Baada ya hapo weka maji yako kama una tui la nazi tumia mimi nazi nakuja kuweka baadae baada ya maji kupungua kidogo
View attachment 3287764Kisha funika na upunguze moto moto weka mdogo kabisa na ukaee kwa muda mrefu
Baada ya hapo mm nikaweka nazi kisha nikageuza nikaacha nikaanza kupika mboga
View attachment 3287767
Mboga kwa mimi natumia kuku rosti na wewe unaweza tumia samaki au nyama mboga yoyote ulio nayo
Nilianza kukaanga kuku kwanza
View attachment 3287770
Kisha nikaweka vitunguu pamoja na hoho na karoti
View attachment 3287771
Kisha nikaweka nyanya nilio saga
View attachment 3287774
Baada ya nyanya kuiva nikaweka nazi
View attachment 3287776
Baada ya hapo nipo nakula karibuni sana wote
View attachment 3287778
Nipo tayari kwa kusimangwa 😂
Hiji chakula hasili yake uko 🇲🇦 hahahh wateja humu wapo wengi ngoja tuangalie makumbusho paleMdogo angu Mwachiluwi andaa site tufungue restaurant tu, me naweka Mtaji wewe unaweka ujuzi
Kama wateja tayari tumepata humu humu.
Kwa maana nimepitia maoni ya Wadau humu,
Wengi mate yamewadondoka Kwa hayo masoltojo 😋😋
Ila kusema kweli, sijawahi kula mseto wa aina hiyo pamoja na kwamba nimekula chumvi nyingi 🤗
Nalijua ilo mbonaUngejua usivyojua kupika, na upikaji wako ulivyo wa kishamba, usingethubutu kuweka picha hapa. Kwanza karne ya leo hizi sufuria hazitumiwi tena na watu wenye weledi.
Ila wengi wa wateja wa huku wanahitaji kuhamasishwa, nina mashaka kama wataweza kula chakula chenye asili ya AsiaHiji chakula hasili yake uko 🇲🇦 hahahh wateja humu wapo wengi ngoja tuangalie makumbusho pale
Watakula tu ni kuandaa tu na kuhakikisha kinavutiaIla wengi wa wateja wa huku wanahitaji kuhamasishwa, nina mashaka kama wataweza kula chakula chenye asili ya Asia
Naona hata pale mgahawa wa Waturuki M/city hauna wateja wengiWatakula tu ni kuandaa tu na kuhakikisha kinavutia
Unausema instanbul sio?Naona hata pale mgahawa wa Waturuki M/city hauna wateja wengi
Nafikiri kutokana na aina ya vyakula vyao
Jitahidi ujue kupika mana ulisema uko mbioni kumuacha wifi 😹Kidogo kidogo mpaka tutajua kupika,maana tayar nmeshajua hatua za kuweka vitunguu karoti hoho na nyanya
Yeah mazingira ni mazuri lakini pia bei zimechangamka kiasi, ndiyo maana wengi huishia kuagiza Kahawa na bites tu za kawaida 🤗Unausema instanbul sio?
Napenda pametulia sana pale
Ahaha kazi kazi ila napapenda pana utulivuYeah mazingira ni mazuri lakini pia bei zimechangamka kiasi, ndiyo maana wengi huishia kuagiza Kahawa na bites tu za kawaida 🤗
Mazingira yake yametulia sana, hata chakula Chao piaAhaha kazi kazi ila napapenda pana utulivu
Mkuu,unaweza kunifundisha kuandaa supu ya kabeji na juisi ya bamia?Hellow mchana mwema
Leo tupike hiki chakula asili yake Madam B atasema
Kwanza chukua tambi zako ulizo kataka ndogo ndogo kisha weka kwenye sufuria ya mafuta yalio chemka kisha anza kuzikaanga mpaka zibadirike rangi na kuwa kahawia zisiungue
View attachment 3287755
Baada ya hapo chukua mchele wako ulio uosha kisha tia kwenye sufuria anza kuukaanga na tambi
View attachment 3287762
Baada ya hapo weka maji yako kama una tui la nazi tumia mimi nazi nakuja kuweka baadae baada ya maji kupungua kidogo
View attachment 3287764Kisha funika na upunguze moto moto weka mdogo kabisa na ukaee kwa muda mrefu
Baada ya hapo mm nikaweka nazi kisha nikageuza nikaacha nikaanza kupika mboga
View attachment 3287767
Mboga kwa mimi natumia kuku rosti na wewe unaweza tumia samaki au nyama mboga yoyote ulio nayo
Nilianza kukaanga kuku kwanza
View attachment 3287770
Kisha nikaweka vitunguu pamoja na hoho na karoti
View attachment 3287771
Kisha nikaweka nyanya nilio saga
View attachment 3287774
Baada ya nyanya kuiva nikaweka nazi
View attachment 3287776
Baada ya hapo nipo nakula karibuni sana wote
View attachment 3287778
Nipo tayari kwa kusimangwa 😂
Kuna skwerz pia ipo upanga ushafikaMazingira yake yametulia sana, hata chakula Chao pia
KaribuuMkuu,unaweza kunifundisha kuandaa supu ya kabeji na juisi ya bamia?
Sijawahi kufika, labda niende weekend ijayo kuosha machoKuna skwerz pia ipo upanga ushafika