NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
Pwani hamna maneno kuna matusi.Una maneno ase 😂😂😂 we kiboko mtu wa pwani nn?
Pwani hamna maneno kuna matusi.Una maneno ase 😂😂😂 we kiboko mtu wa pwani nn?
Ndio maanaNimechanganya uswahili wa namna zote.Ila ni mbara mwindaji
Ndio ni chakula kizuriMchele na ngano.. 🤣
Try itAisee this is incredible.
Matus how?Pwani hamna maneno kuna matusi.
Ha ha ha ha kuna wakati unabuni tu maneno kuboresha jukwaa.Waweza Kuta mi ndugu na kenzy ila najitutumua kwa back ya keyboardNdio maana
Maneno yao yana misamiati mingibya kimatusi.Matus how?
Ukipigwa vzr weww utasemaHa ha ha ha kuna wakati unabuni tu maneno kuboresha jukwaa.Waweza Kuta mi ndugu na kenzy ila najitutumua kwa back ya keyboard
MfanoManeno yao yana misamiati mingibya kimatusi.
Nipigwe kwani mbio sinaUkipigwa vzr weww utasema
Moroccan rice.Hellow mchana mwema
Leo tupike hiki chakula asili yake Madam B atasema
Kwanza chukua tambi zako ulizo kataka ndogo ndogo kisha weka kwenye sufuria ya mafuta yalio chemka kisha anza kuzikaanga mpaka zibadirike rangi na kuwa kahawia zisiungue
View attachment 3287755
Baada ya hapo chukua mchele wako ulio uosha kisha tia kwenye sufuria anza kuukaanga na tambi
View attachment 3287762
Baada ya hapo weka maji yako kama una tui la nazi tumia mimi nazi nakuja kuweka baadae baada ya maji kupungua kidogo
View attachment 3287764Kisha funika na upunguze moto moto weka mdogo kabisa na ukaee kwa muda mrefu
Baada ya hapo mm nikaweka nazi kisha nikageuza nikaacha nikaanza kupika mboga
View attachment 3287767
Mboga kwa mimi natumia kuku rosti na wewe unaweza tumia samaki au nyama mboga yoyote ulio nayo
Nilianza kukaanga kuku kwanza
View attachment 3287770
Kisha nikaweka vitunguu pamoja na hoho na karoti
View attachment 3287771
Kisha nikaweka nyanya nilio saga
View attachment 3287774
Baada ya nyanya kuiva nikaweka nazi
View attachment 3287776
Baada ya hapo nipo nakula karibuni sana wote
View attachment 3287778
Nipo tayari kwa kusimangwa 😂
Mfano wa kutukana wasogelee utawasikiaMfano
Nakuja kula, ngoja niamke hapa
Huna mbio hizoNipigwe kwani mbio sina
Depal Evelyn Salt mumeona jina lakeMoroccan rice.
Tamu sana hii.
Ila all in all nimeupenda.
Hasa huyo kwiooo🐔.
Ila hapa KUOA tutasubiri sana.
Ukuje chapNakuja kula, ngoja niamke hapa
Ngoj siku niwachokozeMfano wa kutukana wasogelee utawasikia