Pishi la nyoka: mishkaki ya cobra

Nyoka! Over my dead body 😮‍💨
Kuna mshkaji wangu wa Mkuzi sasa ni marehemu utakuwa unamjua.. Tulienda miaka hiyo Tang ren restaurant pale Moroko kulikuwa na sherehe ya wavimba macho
Mojawapo ya vyakula vitamu sana ilikuwa ni mchemsho wa chatu in disguise ya Samaki .. Alijipakulia minyama kama yote bila kujua ni chatu😂
 
Mkuu nimewahi ishi ASIA, nimekula sana nyoka, kobe, chura (sio wale wa jangwani😃)? Mijusi ile mikubwa yenye rangi. Trust me, uoga wetu ni mapokeo tu ya jamii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…