Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mh Rose wewe!........ kwani wewe unahisa kwenye hizo pipi?
ndiyooooooo
b4 kulala naramba ..nkiamka tu ya kijit yangu ipo wap..kwenye poch kuna diary na pipi ya kijit km mbili....
SASA WATU watanyonyua /watalamba nin?
mweee tutaandamana...cone ni cone ..ya kijitii ni ya kijiti..
Rose nitakuunga mkono. Mie silali bila kumung'unya pipi kifua. Hii nchi inapelekwa wapi?
Kumbuka ile ratiba yetu ya nyuma ya kitanda?hebu nikumbushe, inasema kulamba asubuhi kila unapoamka?
mweh...wapewa na nani huyo pipi....SASA WATU watanyonyua /watalamba nin?
mweee tutaandamana...cone ni cone ..ya kijitii ni ya kijiti..
Wapenzi wa forum hii,
Sijui hapa ni mahali pake au niulize kwenye forum ya mambo ya biashara. Nimesikia tetesi kuwa serikali inapanga kuzipiga marufuku pipi za vijiti na pipi kifua.
Je hii itakuwa ni haki? Nasikia ni mpango wa tajiri mmoja ili auze cone zake.
This country bwana!
mweh...wapewa na nani huyo pipi....
Alllah wakbar......nanunua dukan...