Pipi za vijiti zimekatazwa

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Wapenzi wa forum hii,

Sijui hapa ni mahali pake au niulize kwenye forum ya mambo ya biashara. Nimesikia tetesi kuwa serikali inapanga kuzipiga marufuku pipi za vijiti na pipi kifua.

Je hii itakuwa ni haki? Nasikia ni mpango wa tajiri mmoja ili auze cone zake.

This country bwana!
 
SASA WATU watanyonyua /watalamba nin?
mweee tutaandamana...cone ni cone ..ya kijitii ni ya kijiti..
 
ndiyooooooo
b4 kulala naramba ..nkiamka tu ya kijit yangu ipo wap..kwenye poch kuna diary na pipi ya kijit km mbili....

Kumbuka ile ratiba yetu ya nyuma ya kitanda?hebu nikumbushe, inasema kulamba asubuhi kila unapoamka?
 
Wapenzi wa forum hii,

Sijui hapa ni mahali pake au niulize kwenye forum ya mambo ya biashara. Nimesikia tetesi kuwa serikali inapanga kuzipiga marufuku pipi za vijiti na pipi kifua.

Je hii itakuwa ni haki? Nasikia ni mpango wa tajiri mmoja ili auze cone zake.

This country bwana!

Ni yule wa makonteina ya Tunduma? Ndiyo malipo yao watu kama yeye wanatoa amri tu na inatekelezwa!
 
wananchi walishabadili ile maana ya mtoa mada hapa. kweli kiswahili kinakua...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom