Pipi na juisi kutumika Ikulu katika dhifa imekaaje hii?

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,197
128,128
tapatalk_1485009502701.jpeg


Ikulu ndio mbingu yetu hapa nchini, kama ni viwango vinatakiwa kutawala basi ikulu inatakiwa kuwa ya kwanza kufuata kanuni za viwango kwa kila kitu!!

Kuna vitu ambavyo havitakiwi kujitokeza ikulu! Na hasa kutendwa na raia namba moja, Mheshimiwa JPM, huyu mtu kuna watu tunawalipa hela za kumtunza. Tunawalipa kumtunza huyu kiumbe kwa kila kitu anacho kigusa kuhakikisha kinakua salama.
Hivi hii elimu ya kunywa juice ukachanganya na pipi wameitoa wap? Kuna vyakula ukichanganya unaweza kuzalisha kitu cha ajabu mwilini!! Yaan pipi na juice wanatufundisha kuzalisha nini mwilini tukila kwa pamoja?? Kwa staili hii je Tz tunapiga vita maradhi ya kisukari kweli??

Hii haikubariki hata kidogo, watendaji mliopo ikulu msiidhalilishe ikulu yetu!! Hiyo ofice ni yetu sote , watu wakiwaona mnayoyafanya wanahisi wote tunafanya hivo hvo!! Tafadhari piga vita kunywa juice na pipi. Huko sio kubana matumiza bali kukaribisha maradhi ya kisukari na meno kuoza!!!

Hivi umetoka kazin unamkuta mkeo kakusanya familia anawanywesha juisi na pipi utamchukuliaje??
Anabana matumiz au ?? Kiukweli sintamwelewa my wife

Lakn yote tisa, kumi; naomba kujua pipi na juice ukichanganya unapata radha gani??
198484182bec33cd74379bc9059b3c1e.jpg
 
Back
Top Bottom