Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

Status
Not open for further replies.
Kwa kweli kwenye red nimeshindwa kuelewa kbs,
hizo formulation ndo zilileta tabu jana!
watu wameng'ang'ana afu leo wawe wameomba khaa!

isomeke hiviiiiiiiiiii "AG, MP wamelazimishwa kujihuduhuru japo bado wanakipenda madaaka yao"., si imekaa vzr jamani, eti Moderator si isimoke hivyo eheee!

mwingine achangie namna ya kuformulate plz.

Ndugu umenikumbusha MSAMIATI wa Bibi jana. Hapa BASATA yabidi watafute neno mwafaka la Kiswahili. Jana LILITAWALA sana mpaka pale Mnyantuzu alipo FOMULATE kafrezi kalikochafua hali ya hewa Mjengoni!
 
Kwa kweli kwenye red nimeshindwa kuelewa kbs,
hizo formulation ndo zilileta tabu jana!
watu wameng'ang'ana afu leo wawe wameomba khaa!

isomeke hiviiiiiiiiiii "AG, MP wamelazimishwa kujihuduhuru japo bado wanakipenda madaaka yao"., si imekaa vzr jamani, eti Moderator si isimoke hivyo eheee!

mwingine achangie namna ya ku0formulate plz.

Madame spika ametoa phrase mpya walahi.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu umenikumbusha MSAMIATI wa Bibi jana. Hapa BASATA yabidi watafute neno mwafaka la Kiswahili. Jana LILITAWALA sana mpaka pale Mnyantuzu alipo FOMULATE kafrezi kalikochafua hali ya hewa Mjengoni!

Aiseee chuwaalbert nahisi litakuwa maarufu sama hilo neno from jana onwards!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kuhusu pesa hawasemi Kama watarejesha au laa? Kujiuzulu wajiuzulu sawa lakini pesaaaa eeeeh pesaaaa....
 
Habari zilizozagaa muda huu ni kwamba waziri mkuu Mizengo Pinda na mwanasheria mkuu wa serikali Fredrik Werema wamewasilisha barua zao kwa rais Jakaya Kikwete kuomba kujiuzulu kutokana na kashfa ya Stanbic bank (Siyo Mkombozi bank) ya uchotwaji kiholela wa shilingi za kitanzania bilioni 73 kwa njia ya 'cash' kinyume cha sheria za kimataifa za uthibiti wa fedha haramu huku zikiwa hazijulikani zilipohamishiwa.

Kashfa hiyo ambayo imeifananisha Tanzania na nchi nyingine zilizokosa kwa kiasi kikubwa udhibiti wa dola kama Somalia imeichafua kwa kiasi kikubwa nchi hiyo mbele ya jumuiya za kimataifa.

Kwa hatua hiyo rais Kikwete anatarajiwa kutoa hatima ya viongozi hao leo saa moja usiku.
Acheni double standard Mkombozi Benki inahusika kutakatisha pesa kama PAC ilivyosema kuwa wamepewa ripoti na Takukuru kuwa watu walikuwa wanasomba pesa kwa viroba na mifuko ya rambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom