Samahani, hivi Yule bibi kiroboto kule mjengoni anadaiwa kumiliki mabasi gani vile? Naomba kukumbushwa
kama sikosei yutong!
1
Samahani, hivi Yule bibi kiroboto kule mjengoni anadaiwa kumiliki mabasi gani vile? Naomba kukumbushwa
Eti ni kweli mwenyekiti wenu anamiliki ile night club ya kuharibu maadili ya watanzania
Wadau mnataka evidence
ya Risiti/Mkataba ulioandikwa jina/saini yake au? yaani unafikiri yeye
ni mjinga kiasi hicho? lengo la kuandika hapa ni watu wajue na wenye
uwezo wa kuchimba zaidi afanye hivyo usitegemee mtu mmoja awe na habari
complete. uliona wapi hiyo. Sijatumwa na mtu mimi ni mwananchi mwenye
uchungu na nchi yangu na jinsi pesa/rasilimali zinavyoliwa na wajanja
wachache
Haya sasa, bahati mbaya huwa haingii humuWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana alitaja mali anazomiliki ambazo miongoni mwake ni nyumba mbili pamoja na akaunti katika benki zenye fedha zisizozidi Sh milioni 25.
"Kama shilingi milioni ishirini na tano ni utajiri, basi nami nimo." amesema Waziri Mkuu ofisini kwake, Magogoni, Dar es Salaam wakati akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari vya ndani ya nchi.
Pinda amesema, anamiliki nyumba moja mjini Dodoma na nyingine kwao Mpanda mkoani Rukwa eneo la Makanyagio, na ana kibanda shambani kwake Pugu nje kidogo ya Dar es Salaam.
"Mimi kila mwaka nataja mali zangu kwa Tume, sijaulizwa, sijagombana na Tume. Ukiniuliza ni masikini kiasi gani, nitakwambia nina property (nyumba) Dodoma, nimejenga kwa utaratibu wa serikali wa kuomba mkopo, ninayo nyingine kwetu Mpanda pale Makanyagio," alisema Pinda.
"Dar es Salaam sina nyumba, pale Pugu nina nyumba kidogo, inahitaji kazi ya ziada…kijijini nilikuwa nafikia kwa babu, babu ana kanyumba kake ka ovyo ovyo…kile ambacho mlikiona, ana vyumba viwili nilikuwa nalala pale, lakini baada ya Uwaziri Mkuu, jamaa wakaniambia aah…haiwezekani pale, nilijua nitaweza kulala pale na hawa jamaa (wasaidizi wake) watalala mjini humo, nikaambiwa hapafai."
Pinda ambaye pia ni Mbunge wa Mpanda Mashariki alisema hana gari lolote zaidi ya gari alilopewa kwa kuwa Mbunge, na kwamba katika akaunti zake zote, ana fedha kiasi cha Sh milioni 22 hadi 25.
"Akaunti zangu zote jumla yake haizidi shilingi milioni ishirini na tano…basi kama shilingi milioni ishirini na tano ni utajiri, basi nami nimo," alisema Pinda na kusababisha wahariri hao waangue kicheko.
Inakuharibu wewe na ushamba wako!
Lete ushahidi wa madai yako...Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA
Eti ni kweli mwenyekiti wenu anamiliki ile night club ya kuharibu maadili ya watanzania
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA
Wadau mnataka evidence ya Risiti/Mkataba ulioandikwa jina/saini yake au? yaani unafikiri yeye ni mjinga kiasi hicho? lengo la kuandika hapa ni watu wajue na wenye uwezo wa kuchimba zaidi afanye hivyo usitegemee mtu mmoja awe na habari complete. uliona wapi hiyo. Sijatumwa na mtu mimi ni mwananchi mwenye uchungu na nchi yangu na jinsi pesa/rasilimali zinavyoliwa na wajanja wachache