iron2012
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 501
- 212
inawezekana hukupewa poshoWadau mnataka evidence ya Risiti/Mkataba ulioandikwa jina/saini yake au? yaani unafikiri yeye ni mjinga kiasi hicho? lengo la kuandika hapa ni watu wajue na wenye uwezo wa kuchimba zaidi afanye hivyo usitegemee mtu mmoja awe na habari complete. uliona wapi hiyo. Sijatumwa na mtu mimi ni mwananchi mwenye uchungu na nchi yangu na jinsi pesa/rasilimali zinavyoliwa na wajanja wachache